Hey wajaa!!
Nimekuta hii story huko FB, kwa kweli nimeishiwa hadi nguvu, inawezekanaje? Watu wanawezaje kufanya haya yote? Ili iweje? Mbona sijioni nikiweza kabisa kuishi kwa style hii?
Kijana wa watu akaamua kuishi kwa kutaka kufurahisha waja/jamii ili aonekane wa tofauti, kumbe sivyo...