hawezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Akataa kuolewa kisa mwanauwe hawezi kuandaa sherehe ila mahali yuko tayari kutoa

    Za mda huu wadau, Ni mama wa miaka 40 na ambaye pia ni mzee wa kanisa haya makanisa ya kilokole na alishawahi kuolewa na kudumu kwedumu kwenye ndoa kwa miaka 7 ila hakubahatika kupata mtoto mwanaume akamkimbia . Sasa kapata kijana mdogo tu wakaelewana, kijana akasema yeye yuko tayari kutoa...
  2. JamiiForums Tanzania John Heche: Haji Duni na wenzake wanatumika na CCM kuua demokrasia. Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kosa la kubumba

    Akiongea leo, John Heche amesema kuwa "Akina Duni Haji ambao wamekuwa na historia nzuri lakini sasa wanatumika na CCM kuharibu ujenzi wa demokrasia, Freeman Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kesi hii ya kutengeneza"
  3. JamiiForums Tanzania Hata Spika wa Bunge awe nani, hawezi kutufaa kama taifa. Ufizi ukioza jino hata liwe zuri vipi litauma tu na huenda likang'olewa tena

    Habarini za saa hizi ndugu, adui, rafiki na jamaa yangu wa humu JamiiForums. Nataka kuzungumzia hili suala la watu wengi kufikiria (ponder] juu ya nani ajaye kama spika wa bunge. Kama wengi wetu wakitabiri kwa maoni na mitazamo yao Kabudi, Chenge au Lukuvu na hata Waitara sio mbaya. Hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…