hawa mwaifunga

Hawa Subira Mwaifunga (born 27 March 1976) is a Tanzanian politician and a member of the CHADEMA political party. She was elected as a member of the Special Seats as women representative and serves as member of parliament since 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    GE2025 Hawa Mwaifunga: Uwezo wangu unaenda kuwa maradufu Bungeni

    Mbunge Mteule wa jimbo la Tabora mjini kupitia CCM Hawa Subira Mwaifunga amewashukuru wakazi wa Tabora mjini kwa imani yao na mapenzi makubwa waliyoyaonyesha kwake baada ya kushinda na kutangazwa kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa kipindi cha miaka mitano (2025-2030); Ambapo ameahidi kwenda kuwa...
  2. Just Pray

    GE2025 Mgombea ubunge Tabora Mjini akemea ushoga na ulevi kwa vijana

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi Hawa Mwaifunga leo Oktoba 7,2025 ameendelea na mikutano ya Kampeni kusaka kura za kuwa Mbunge wa Tabora mjini. Mwaifunga akiwa katika kata ya Uyui amewataka Vijana kuchangamkia fursa za ajira katika viwanda ambavyo vitajengwa...
  3. Just Pray

    GE2025 Hawa Mwaifunga: Mkinipa kura nitaenda tonge kwa nyama kata ya tambukareli ipate zahanati

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiongea katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tambukareli amewaomba Wananchi wa kata hiyo kumpigia kura awe mbunge akasimamie ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2025/30. Mwaifunga amesema kuwa kupitia ilani ya...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Hawa Mwaifunga arudisha fomu ya ubunge jimbo la Tabora mjini, afunguka sababu za kuhamia CCM

    Hawa Mwaifunga arudisha fomu ya ubunge jimbo la Tabora mjini, afunguka sababu za kuhamia CCM
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge wa viti maalumu Hawa Mwaifunga: Shule zimechakaa sana zitaleta maafa makubwa sana

    Mbunge wa viti maalumu Mhe. Hawa Mwaifunga ameziomba halmashauri kuangalia njia bora za kufanya marekebisho katika baadhi ya shule ili zirudi katika ubora wake ili kuepusha maafa kujitokeza. Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
  6. ChoiceVariable

    PreGE2025 Mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA ajitambulisha kama MwanaCCM akichangia hoja Bungeni

    Ni Hawa Mwaifunga(Mrs Bananga) ametoa Kali na Siri iliyoko moyoni mwake Kwa Kujitambulisha kwamba ni mwana CCM.😁😁 --- Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga ameibua shangwe bungeni jijini Dodoma baada ya kutumia maneno "Wana-CCM wenzangu," katika maelezo yake wakati akichangia bajeti ya Wizara...
Back
Top Bottom