harufu ya jasho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KERO Mnaotoka mazoezini jioni, ogeni kabla ya kupanda usafiri wa umma! Harufu ya jasho lenu ni kali na inakera

    Wakuu Kuna hii tabia ya baadhi ya watu kuingia kwenye usafiri wa umma nyakati za jioni wakiwa wanatoka mazoezini bila kuoga, wananuka jasho na kwa kweli huwa wanakwaza sana abiria wengine. Tunajua mazoezi ni afya ila, Kaka na dada zangu mnaotoka gym, jitahidini kuoga kabla ya kupanda usafiri...
  2. O

    JamiiForums Tanzania USHAURI: House girl wangu anatoa harufu ya Jasho

    Hello dears! Nmepata msaidizi wa nyumbani, kiukweli nampenda na anajitahidi na kazi zake sifikirii kumuondoa kwani pia huwa napata wadada wazuri tunaishi mda mrefu. Huyu anashida ya harufu ya jasho lake ni kali sana. Akipita sehemu anaacha harufu. Najitahidi kuhimiza kuoga angalau mara mbili...
Back
Top Bottom