Habari za muda huu.
Niende kwenye mada Moja kwa moja.
Chama Cha Mapinduzi hakijakosa hela kiasi cha kuandaa harambee ya watu kukichangia pesa za kuendesha shughuli za uchaguzi.
Miaka yote chama kimekuwa kikishiriki uchaguzi pasi na kuhitaji watu kukichangia.
Lengo kuu la harambee ile ilikuwa...
Yanga SC kupitia Msemaji wao wamekanusha vikali kuwa hawajachangia Shilingi Milioni 100 kwa CCM na kusema kuwa aliyechangia ni GSM na wala siyo Yanga SC.
Lala salama Ruge Mutahaba kwani ile Kauli yako uliyosema kuwa hapa duniani tuogope sana Vitu viwili Mungu na Teknolojia inaishi na itaishi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Klabu ya Yanga kujiepusha na Siasa na kurejesha Shilingi milioni 100 zinazodaiwa kuchangia kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia GSM Foundation.
Kupitia taarifa iliyotolewa Agosti 15, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi...
"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?
Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani...
CCM kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara lakini hasara inakuwa kubwa sana. Kwamaana chama kinatekwa inakuwa iwewapa nguvu zenu watu wengine. Wahuni hupenda kukaa ndani ya CCM ili kuitawala Serikali. Kwahiyo chama kinapaswa kuwa uhuru
Wakuu!
Harambee za kisiasa zimekuwa sehemu ya kawaida katika kampeni, na Tanzania hatuko mbali na hilo.
Hofu yangu michango mikubwa, hasa inapokusanywa na chama kimoja, huibua mjadala iwapo nguvu ya fedha inaweza kushinda hoja na sera.
CCM, kwa mfano, jana Agosti 12 ilifanya harambee na...
Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao.
----
CCM...
Tuna haki ya kuhoji: Mtu huyu ana rekodi chafu na ana kesi nchini Afrika Kusini lakini jana amebainisha mwenyewe kuwa alikuwa nchini, saa chache kabla ya Harambee ya CCM.
Hapa kuna ujumbe gani kwetu?
Uchumi wa Tanzania kwa sasa sehemu kubwa uko chini ya sekta binafsi sio serikali
Na ndio walipa kodi wakubwa kodi ya kuendesha nchi na kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali
CCM iko vizuri inakubalika kwa wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa ushahidi michango waliyochangia ni ushahidi...
Ndugu zangu Watanzania. Mmeona, mmeona wenyewe. Chama kile alichokiasisi Nyerere, kinaandaa karamu ya wenye fedha, kuiweka mbele, kila mmoja anapigana vikumbo kukaa mwza kuu ili Kumtafuna mama Tanzania.
Mmeona wenyewe ndugu zangu, CCM na serikali yake hawana hofu, hawana aibu. Wanaalika mtu...
Wachimbaji wadogo wa madini wamechangia Bilioni 16.2 kwenye harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, zilifanyika Mlimani city (CCM gala dinner 2025)
Soma Pia: Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) Hadi sasa wamekusanya Bilioni 56.31 cash
Je ni...
Wanaukumbi.
No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.
Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.
Rais Samia anachangiwa na kila...
Hello!
Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.
Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.
Turudi kwenye mada.
CCM inafanya harambee...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba wakati wa kutambulisha harambee ya chama itakayofanyika Agosti 12, 2025, pia alitamka kuwa baadhi ya Waandishi wa Habari ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.