harakati

The National Revival Movement Party (Azerbaijani: Milli Dirçəliş Hərəkatı Partiyası) is a political party in Azerbaijan. The party's leader is Faraj Guliyev, who is well-known politician. At the 2010 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats. In the 2015 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

    Kwa muda mrefu tangu muungano wa Tanganyika na Zanzibar hawa ndugu zetu kutoka Zanzibar wamekuwa hawaridhishwi na huu muungano, inasemakena hadi Rais wa kwanza wa Zanzibar alishawahi sema muungano ni kama koti likikubana unalivua. Pia nakumbuka awamu ya 4, Rais akiwa Kikwete kuliibuka wimbi...
  2. JamiiForums Tanzania Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tutulie na harakati zetu - ya nani spika hayatuhusu ndewe wala sikio ni lao hilo

    Naona wapiganaji maarufu huwa wanajikita katika mambo ya CCM, mpaka wafuasi tunapata khofu juu yao,inakuwaje hawa viongozi tunaowategemea wanaingilia mambo ya Chama Cha Mashetani (CCM), mpaka wanafikia kusema huyu anafaa huyu hafai, hivi inakuwaje? Huku uraiani tunashindwa kuwaelewa viongozi...
  4. JamiiForums Tanzania Ukimya wa wanaharakati na wapinzani kwenye mfumuko wa bei ni dalili Rais Samia amekubalika au?

    Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei, ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK. Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
  5. JamiiForums Tanzania Moses Machali Mkuu wa Wilaya Kigeugeu asiyetabilika, harakati zake za siasa zinaangalia upepo ulipovumia

    Wana JF Kama ulikuwa hujui watu waliokuwa wanaaminika kwa misimamo dhabiti ni watu wa kigoma, hawa jamaa huko nyuma walikuwa vyuma sana kupinga uthalimu wowote ule uliokuwa unafanywa na serikali, walikuwa wakali wa hoja, waliaminika sana Kupita maelezo, ugonjwa wa usaliti ulioanzishwa na Dr...
  6. JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego na harakati

    Nisiwachoshe. Sikilizeni alichoimba Ney wa Mitego. Nafikiri ndio msanii pekee aliyeonyesha kutetea anayoamini kwa muda wote. Unaweza ongeza lolote kuhusu Ney kama unalo.
  7. JamiiForums Tanzania USSR/ Urusi wana legacy gani Afrika?

    USSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa na Mobutu akawatimua wa Soviets. Hapa karibuni, waasi na wababe wa kivita walijaa karibu CAR yote...
  8. JamiiForums Tanzania Kamanda wa jeshi la nchi kavu la Iran: Tunazifuatilia kikamilifu harakati za Wazayuni

    Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka wake wa kaskazini magharibi na kwa sababu hiyo harakati za utawala huo haramu zinafuatiliwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast aasisi harakati ya kisiasa

    Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast Bi Simone Gbagbo leo ameshiriki katika uzinduzi wa harakati ya kisiasa, ikiwa ni hatua moja kuelekea kuasisi chama chake cha siasa kwa ajili ya uchaguzi wa rais wa mwaka 2025. Simone Gbagbo ametilia mkazo mwelekeo wake wa kuwa na "Kodivaa yenye nguvu, iliyo...
  10. JamiiForums Tanzania Amos Makalla katika harakati za kukomesha biashara ya ukahaba Dar es Salam

    Wakuu nimeona nipite na hii sababu naona kama viongozi wetu sometimes wanakua wamekosa kazi za kufanya na kuanza kuyasakama mambo ambayo yapo toka enzi na hata wao pia ni wateja wazuri wa ao watu wanao wahita makahaba. Kwanza kabisa biashara ya ukahaba kwa jiji la Dar ni biashara ya Muda mrefu...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo gazeti la Mwafrika lilivyochapisha harakati za Uhuru 1959

    Little we knew that the Freedom will be for the few TANU, CCM and Afro Shirazi Party elites.
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Je, tufumbe macho au tutafute suluhu la machinga?

    JE, TUFUMBE MACHO AU TUTAFUTE SULUHU LA MACHINGA? Labda niseme kwamba mimi ni machinga kwa style yangu ya biashara, na niseme wazi kwamba nimefanya umachinga tangu nikiwa shule ya msingi au niseme kabla sijaanza shule ya msingi. Maisha yangu, ambayo ni maisha ya machinga wengi, yalikuwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Katika harakati za kusaidia jamii ya Afrika

    Habari za majukumu wanaJF Leo ningependa kutambulisha tovuti zangu Katika harakati za kusaidia jamii ya kiafrica kujiajiri au kutumia mitandao kujipatia kipato, niliamua kuanzisha tovuti mbali mbali ili kusaidia jamii ya africa kujiari, lengo langu kubwa ni watu kutumia mitandaon kujipatia...
  14. JamiiForums Tanzania Leo tangu asubuhi sijaingiza hata mia katika harakati zangu

    Mambo ya kutafuta bwana, leo ninetoka kapa katika harakati za kutafuta, kifupi sijaingiza hela yoyote leo.
  15. JamiiForums Tanzania John Mnyika, ni bora muwe gerezani wote au Katiba Mpya?

    Siwezi kusema sana na wewe kama mtendaji mkuu wa Chama tikasikia kesi ya Ugaidi kama alivyo kwa mwenyekiti wako. Mwambie yupo ndani wewe hujashtakiwa na mtu. Wakati mnahangaika na mashtaka yake lazima muendelezo suala la madai ya Katiba Mpya. Naamini kusudi zima la kumkamata Mbowe ni kufifisha...
  16. JamiiForums Tanzania Nashtushwa sana na uwepo wa wananchi wanaobeza harakati za kudai haki

    Wasalaam wana JF Ushaidi wa mtu kuwa na akili ni pamoja na kujitambua na kujua haki zake. Haki ni kama wembe zinakata pande zote, inapopokonywa kwa mwenzako wewe una uhakika gani utaipata? Kila nikisoma uzi humu ndani naona wapo watu wanaofurahia kuona wananchi wenzao wakionewa na kunyimwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: CHADEMA ni chama cha Siasa, Harakati au Haki za Binadamu?

    Jina lake kamili ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kifupi chake ni CHADEMA kifupi ndani ya ufupi wa jina ni CDM, lakini kuanzia ngazi ya msingi ya hiki chama hakihakisi kabisa jina la chama hichi , sasa maswali yanakuja mengi na kutaka kujua hivi hiki chama ni cha mlengo gani? Kuna wakati...
  18. JamiiForums Tanzania Harakati za kudai uhuru wa Tanganyika

  19. JamiiForums Tanzania Naachana na harakati za kisiasa Tanzania, hazina faida yoyote

    Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa. Kulingana na mwenendo wa siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida. Mwanzo nilifikiri tatizo ni Marais wanaotawala hii nchi kumbe tatizo sio Marais wanaotawala hii nchi bali ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…