Ni kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena.
Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni upuuzi mtupu
Hakuna trendings tena mitandaoni
Hakuna 'new subscribers'
Hakuna interviews tena...
Wakili Onesmo Olengurumwa, Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), amesema harakati za vijana na maandamano ya kudai haki si jambo jipya, bali ni mwendelezo wa historia ndefu ya mapambano ya kidemokrasia duniani.
Akizungumza katika kipindi cha Maswali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.