wakuu hivi huu utaratibu wa kumwagiana maji siku ya kuzaliwa ulianzishwa kwa manufaa gani? mbona kama wahuni wanazidisha manjonjo? Binafsi sijaruhusu utaratibu huu kwenye siku yangu ya kuzaliwa. Huyu dingii ni siku yake ya kuzaliwa, wahuni wakaona sio kesi wakatafuta mahali chemba ilipo a.k.a...