hali ya kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MEKADDISHKEM

    Nani atamfunga Paka Kengele?- Taswira ya hali ya kisiasa Tanzania

    Katika hadithi maarufu ya “Nani Atamfunga Paka Kengele,” tunasikia simulizi la taifa la Panya lililovamiwa na Paka mwenye nguvu. Panya wanateseka, wanaishi kwa hofu, na hata sauti zao ndogo zinakuwa tishio mbele ya masikio makali ya Paka. Baada ya mateso ya muda mrefu, wanakusanyika kutafuta...
  2. Kitimoto

    Sala ya Kuwaombea Viongozi na Waathirika wa Hali ya Kisiasa Tanzania

    Baba Yetu wa Mbinguni, tunakushukuru kwa upendo wako mkuu na rehema zisizo na mwisho. Tunakutolea sala hii, tukiwa na majonzi ya mioyo yetu, tukiwaombea viongozi na wananchi waliokumbwa na maumivu na mateso katika taifa letu. Tunakuomba, Baba yetu, uingilie kati kwa huruma yako isiyokwisha. 1...
  3. R

    Kwa hili POLEPOLE umechemsha! Ulijiaminishaje kuwa nchini na kutamka haki dhidi ya wenye madaraka? Na hali ya kisiasa tuliyonayo

    Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema. Aliyekushauri alikupoteza sana. Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa! Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
  4. S

    Viongozi wa CHADEMA kufanya kikao na balozi mbalimbali nchini, kwa lengo la kujadili hali ya kisiasa, huu siyo ukiukwaji wa mkataba wa vienna?

    Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya ndani ya nchi hasa...
  5. Ryan Holiday

    Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

    TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA "Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa. Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa...
  6. Just Pray

    PreGE2025 Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni Tulivu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
  7. The Supreme Conqueror

    Kwa hali ya kisiasa inayoendelea Tz Polisi na Chawa wa Samia, Janabi hawezi kushinda uwakilishi WHO nipo nimekaa pale

    Kama kweli Kikwete alikusudia jamaa ake ashinde kile kiti cha uwakilishi wa WHO kanda ya Afrika angelianza kumshauri Samia juu ya mustakabali mwema wa hali ya kisiasa kwa kipindi hiki tunapoelekea katika uchaguzi mkuu 2025. Mengi yanayoendelea katika Nchi yetu hususani matumizi makubwa ya...
  8. M

    Chadema itisha kikao cha watu mashuhuri ndani ya chama ili mjadili hali ya kisiasa

    Mimi ninaamini siasa ni dynamic kwa haya yanayoendelea kwenye CHADEMA mara watu kukamatwa, mara kutekwa, mara kutenguliwa kamati na seccretariat na kesi ya Lisu,G55nk kuna haja ya kurevisit mbinu zenu. Nashauri Makamu Mwenyekiti chukua initiative uitishe kikao cha jopo la watu kama 30 la...
  9. BLACK MOVEMENT

    Tetesi: Seneti ya Marekani itajadili hali ya Kisiasa Tanzania wakati wowote mwezi huu, hapa CCM lazima wapoteane

    Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane. Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Tanzania yasisitiza: Hatujavunja Sheria, tunatekeleza majukumu yetu kama Taifa Huru

    Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria. Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  11. Tlaatlaah

    PreGE2025 Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini hakuna hata jimbo moja la uchaguzi nchini litaenda upinzani uchaguzi mkuu wa october 2025

    Kwa namna ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ilivyotekelezwa kikamilifu na kwa ufanisi wa zaidi ya 98%, Ni wazi imani na kuaminika kwa serikali sikivu ya CCM kwa wananchi inaweza kua ni zaidi ya 100%, na hiyo itamaanisha na kuashiria kwamba, CCM inaweza kushinda uchaguzi mkuu wa October...
  12. M

    Hali hii ya kisiasa Tanzania itaendelea mpaka lini?

    1. Ikiwa Bunge, Mahakama, vyombo vya ulinzi na usalama na kila kitu vipo mikononi mwa mtu mmoja: Je, kuna demokrasia hapo? Je, kuna haki hapo? Kwa kifupi, ni kwamba kama mchakato mzima wa uchaguzi utaendelea kuratibiwa na wateule wa Rais, watendaji wa serikali na waajiriwa wa serikali iliyopo...
Back
Top Bottom