Takriban watu 21 wamefariki dunia kufuatia mvua yenye baridi na upepo mkali wakati wanakimbia (Ultramarathon) katika Jimbo la Gansu Kaskazini Magharibi mwa China.
Maafisa katika eneo hilo wanasema mbio hizo zilizojumuisha watu 172 ziliathiriwa ghafla na hali mbaya ya hewa ambapo ndani ya...