Wakuu mnakumbuka hii kutoka kwa Yericko Nyerere?
Alipokuwa akihojiwa siku ya uchaguzi wa CHADEMA kwa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, alisema kuwa ukipigwa hakuna kuhama chama lakini baada ya timu yake kupigwa ameshindwa kuvumilia😂
Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?
Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia...
Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea
Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa...
Why am I saying so?
1. Hazikuwa kampeni, lilikuwa ni kusudio la kupinduana, siyo kuchaguana kujenga chetu.
2. Why hazikuwa kampeni? Wana ndugu hawa kama tulivyokuwa tunawaona/tunawajua tulio pembeni, hamkupashwa kufika mliko fika mlivyobagazana, kukashifiana, kutukanana and the like....all...