hakimu mkazi kisutu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Wakazi ahukumiwa kumlipa Baba Levo Tsh. Milioni 100 kwa kumchafua

    Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyopo Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa hukumu katika shauri la madai ya kashfa lililofunguliwa na msanii na Mbunge Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo) dhidi ya Webiro Wasira maarufu kama Wakazi. Katika hukumu iliyotolewa tarehe 13 Machi 2026, mahakama imebaini...
  2. McLaren

    Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

    Wakuu, Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata === "Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya...
  3. tonicimmobility

    Ni nini uandhani kitaamuliwa leo Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inaendelea leo Agosti 18, 2025 ambapo Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga anatarajia kutoa amri kuhusu ombi na pingamizi la urushaji wa moja kwa moja wa mwenendo wa...
  4. Waufukweni

    GE2025 Askari Magereza walioficha nyuso zao wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Askari Magereza walioficha nyuso zao wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu (Uhaini) kuendelea leo Julai 30, 2025, afikisha siku 112 akiwa Gerezani
  5. B

    PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

    Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu. Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa? Wacha tuone nini kitajiri. https://www.youtube.com/live/uUHWvriUjLw?si=TwsNHUnhRe8mu8vl ==================================== Mwenyekiti wa CHADEMA...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

    https://www.youtube.com/live/9TLDeGzo4I4?si=2c8MZ_S_QZrJKEBl Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Mei 19.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Wakili Tundu Lissu ililetwa kwa ajili ya...
  7. Heparin

    PreGE2025 Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu

    Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo? Pia soma LIVE -...
  8. M

    Kilichojiri mahakamani kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Aprili 28, 2025

    Afisa wa Magereza amesema hayuko tayari kwa utaratibu wa virtual Mheshimiwa Mrema wakili wa serikali anatambulisha jopo la mawakili wa serikali kwa upande wa jamhuri yupo pia Thawabu Issa, Cathbert Mbiringe, Harrison Lukosi. Upande wa utetezi wapo mawakili wafuatao 1. Mpale Mpoki 2. Dr...
  9. Mindyou

    Watanzania 36 waliozamia Afrika Kusini wahukumiwa kwa kuondoka nchini kinyume cha sheria

    Wakuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Watanzania 36 kulipa faini ya shilingi 30,000 kila mmoja au kutumikia kifungo cha miezi mitatu jela kwa kosa la kuondoka nchini Tanzania kinyume cha sheria na kuingia Afrika Kusini bila vibali halali. Hukumu hiyo imetolewa Jumanne, Machi 11...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga kutoa uamuzi wa dhamana Boniface Jacob, septemba 23, 2024

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi Jumatatu ya Septemba 23, 2024 wa dhamana ya aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai. Uamuzi huo utatolewa baada ya upande wa mashtaka leo Alhamisi, Septemba 19, 2024 kumfikisha mahakamani na...
  11. W

    Raia wa Burundi Ashitakiwa kughushi Kitambulisho cha Mpiga kura na NIDA

    Raia wa Burundi, Kabura Kossan (65) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka sita yakiwemo ya kughushi kitambulisho cha Taifa (Nida) na cha Mpiga kura. Vilevile anadaiwa kutakatisha Sh8 milioni zilizotokana na kununua eneo lene ukubwa wa heka 100...
Back
Top Bottom