Katika mfumo wa demokrasia, maandamano ni haki ya kikatiba inayotambulika wazi katika Ibara ya 18 na 29 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Haki hii inahusisha uhuru wa kujieleza na kushiriki katika masuala ya kijamii na kisiasa. Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kikatiba kuzuia au...
MSIMAMO WA ACT WAZALENDO KUHUSU MWENENDO NA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU 2025
Chama cha ACT Wazalendo kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa kilichoketi 7 Oktoba 2025 kimefanya tathmini ya kina kuhusu mwenendo na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 ambao umekuwa pigo kubwa...
Hali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo, Ngaramtoni na arumeru.
Ntaleta update ya kinachoendelea.
Baadhi ya maeneo yenye vurugu wananchi wapewa amri ya kutoka kutoka nje .
Madai ya wananchi ni kuhusiana na kupewa miili ya ndugu zao ambayo haijulikani ilipo Hadi Sasa.
Wakuu habari za leo,
Wakati wananchi wengi wakilalamikia upotevu wa maeneo ya wazi, hali inaonekana kuwa mbaya zaidi Moshi mjini. Ofisi za ardhi na ofisi ya Mkurugenzi wa manispaa ya Moshi mjini zinatajwa kuwa kiini cha rushwa inayohatarisha haki za wananchi.
Kuna taarifa na malalamiko mazito...
Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) kimekemea vikali tabia za baadhi ya vyama vya siasa kuwalazimisha wananchi kususia uchaguzi ni kuwanyima haki ya msingi kwa mujibu wa katiba.
Chama husika hakishiriki uchaguzi hatua hiyo ambapo ni kinyume cha demokrasia ya...
Disclaimer:
Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri rasmi wa kisheria, bali ni uchambuzi wa kisheria na kikatiba kwa lengo la kuelimisha na kujadili...
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria, akisisitiza kuwa bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, hakutakuwa na uchaguzi.
Akihutubia wakazi...
Wakuu,
Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote?
Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi?
Au tafsiri ya wananchi ni...
Makamu wa kwanza wa rais Othman masoud amekitaka chama cha wanasheria Zanzibar (ZLS) kusimama imara kutetea haki za wananchi zinapovunjwa hasa katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Tamko hilo amelitoa wakati akifunguwa mkutano mkuu wa mwaka chama hicho uliofanyika visiwani Zanzibar na...
Nchi yetu inapitia kipindi kigumu ambacho hakijawahi kuwepo tangu Taifa liwepo.
Japo kumewahi kuwepo malalamiko mbalimbali kuhusu usalama na haki za watu, lakini hali haijawahi kuwa mbaya kama ya awamu hii.
Kwenye awamu zilizopita, mathalani wakati wa utawala wa Kikwete, Dr Ulimboka alitekwa...
Wasalam wanajumui wa Afrika mashariki,
Swala la raia vijana wa Kenya kusimama kwa umoja wao bila kuchoka na kukataa wachache kuwaamulia ndivyo sivyo juu ya maisha yao, kimezua mitazamo tofauti katika ulimwengu.
Mitazamo hio imetokana na mlengo wa muhusika anatokea wapi, maeneo mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.