haki ya taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Giza la Kidigitali Tanzania: Asasi za Kiraia, Wananchi, na Mawakili Tusimame Pamoja Kukataa Aina Hii Mpya ya Udikteta

    Kumbukumbu za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania zitaendelea kudumu katika akili za wengi, si tu kwa matokeo yake, bali kwa "giza la kidigitali" lililotanda nchini kote. Uamuzi wa mamlaka kuzima mtandao wa intaneti na kufungia bila kimomo na bila kufuata misingi ya sheria mitandao...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Serikali acheni kumtumia Mwamposa kutafuta uhalali wa kudhibiti na kufungia mitandao ya kijamii

    Wakuu, Sasa mnaanza kumtumia tapeli Mwamposa kutafuta namna ya kufungia mitandao ya kijamii! Eti watanzania waanze kutumia mitandao ILIYOPIMWA! Mnataka kupitisha agenda ya kuanza kuchunguza watu na kudhibiti mambo ambayo watu wanaona! Eti watanzania waanze kutumia mitandao ya kijamii ambayo ni...
  3. U

    PreGE2025 Mwamposa ataka Mitandao ya Kijamii idhibitiwe. Adai inafanya watu kuwa wavivu

    Muhubiri wa Kanisa la Arise and Shine International, Boniface Mwamposa, amesema Watanzania wanapaswa kubadilisha mtindo wa maisha na kuachana na uvivu unaowafanya kupoteza muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii badala ya kujikita katika maendeleo. Akihubiri leo Jumapili kanisani Mwamposa...
  4. Cute Wife

    Tupeane Updates: Hali ya mtandao ikoje mahali ulipo? Shughuli zako zinaenda kama kawaida?

    Wakuu, Hali ya mtandao imekuwa ya kususua tunaenda karibia wiki ya tatu sasa. Ni shida kuingia katika baadhi ya sites kiasi kwamba inabidi utumie vipi. Pia soma: Historia ni mwalimu mzuri, msiseme sikuwaambia! Wale ambao kazi zetu zinategemea uwepo wa mtandao kwa sehemu kubwa zinaathirika...
  5. W

    Waandishi wa Habari Waandamana Kenya, wapeleka maombi yao Makao Makuu ya Polisi NPS

    Waandishi wa Habari wameandamana jijini Nairobi kwa ajili ya kulaani mashambulizi ya Wanaoripoti Habari kuhusu Maandamano na vitisho kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari kutoka kwa Polisi Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya Katika taarifa iliyotolewa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kenya...
  6. Cute Wife

    Serikali yakanusha kukamatwa kwa Mwandishi Dickson Ng'hily na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, yasema mwandishi hakupigwa wala kuvunjiwa simu yake

    Wakuu, Haya maelezo yanatishia mashaka, kwamba wanafunzi hawakai chini ila walikuwa wanafanya masahihisho ya mitihani, tena chini ya mti, kama vyumba vinawatosha kwanini wasifanyie hayo darasani? Hapa panatia mashaka. Ila pia mnataka kutuambia kuwa THRDC walikurupuka, kwamba hawakuwa na...
  7. Decree Holder

    Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

    Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi. Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutumia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi kwa takribani wiki nzima.
Back
Top Bottom