Kazi anayofanya Lisu ni kubwa sana kuonyesha udhaifu ulioko kwenye Muhimili wa mahakama ni aibu tupu
Kadri wanavyozidi kukaa na Lisu ndivyo wanavyozidi kuumbulia hadharani
Ni kama wamepigwa upofu hawajui Nini waamue
Ukimeza kaa la moto kivyovyote LAZIMA uumie , ukipandisha likuunguza ukimeza...
Mwandishi wa Mithali inasema hivi: Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu ya watu wote (14:34). Msemo huu ukiuangalia kwa haraka unaweza kukosa kuelewa una maana gani. Ila ukiangalia kwa karibu unaweza kuona ni kwanini "haki huinua taifa". Nimeandika hivi majuzi nikiendeleza tafakari iliyofanywa...
Wanabodi
Dini zote zinafundisha kuhusu haki
Haki huinua Taifa (Mithali 14:34) na haki na amani vinabusiana (Zaburi 85:10) wenye kutoa hukumu dhidi yetu na dhidi ya wengine watoe hukumu kwa haki (Quran 4:58) na Haki ifanywe kipaumbele (Quran 16:90) tudumishe Tanzania ya uhuru na umoja na zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.