haikubaliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe pamoja na kuchangisha pesa mikakati iwe kuchukua dola 2025. CCM haikubaliki kabisa maana kwa mwaka mmoja tu imepoteza nguvu

    Anza mikakati ya kutafuta wagombea makini kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais. Pia chaguzi za serikali za mitaa. Msisitizo ni kuwa hii ni wananchi kuikataa hii CCM ya wapiga madili hii ndio iwe hoja kuu. Wewe binafsi usigombee maana haukubaliki. Tafuta watu makini. 2025 ushindi upo wazi kabisa.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Mbunge nimemsikia mjengoni akiomba Serikali iajiri wanaojitolea. Hii haikubaliki

    Mnaenda kututengenezea mazingira gani? binafsi mimi niseme ni baba wa mtoto mmoja, pia ninatunza familia wazazi wangu wananitegemea mimi, kipindi nimemaliza chuo niliamua kujitolea lakini hali ikawa mbaya nilikuwa napewa elfu 30 kwa mwezi, familia yangu ile na wazazi niwape majukumu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jipangeni 2025 hii CCM haikubaliki kwa wananchi, mtapata upenyo mkubwa sana na kupiga bao

    Ni dalili kubwa sasa hii ni CcM ya wapigaji na wajanja aka wazee wa kupiga madili kama ya Lugumi, kagoda na Escrow. Mpaka tunafika 2025 wananchi watakauwa wameshachoka na kuikataa mioyoni mwao. Mjipange na kufanya kweli.
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kumfunga Sabaya huku mamlaka zikimtetea Paul Makonda hii haikubaliki

    Habari, Mimi ni miongoni mwa watu wachache tuliokuwa tukiuchukia uongozi wa Magufuli. Matendo maovu na viburi kutoka kwa wateule wa Magufuli akiwemo Sabaya na Makonda ndivyo vilichochea zaidi kuichukia serikali ya Magufuli. Hawa vijana waliojizolea utajiri kwa kutumia mamlaka yao hawafai...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali haikubaliki

    Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa, RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani...
Back
Top Bottom