hai

“Haï” is an essay written by French Nobel laureate J. M. G. Le Clézio.

View More On Wikipedia.org
  1. Video: Hivi ndivyo aliyekuwa DC wa Hai, Ole Sabaya alivyotumia madaraka yake vibaya kuiba, kutesa na kuua. Kwanini asiende jela huyu...?

    Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli... Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa kuwa kuna KESHO... Walitegemea KULINDWA NA MTU badala ya matendo yao ya HAKI.. Katika video hii...
  2. 4

    Nimeona kibanda Wilaya Hai kidogo kinafaa. Nina Milioni 55

    Wakuu kheri ya Idd, Ndugu zangu wapendwa wote mlio JamiiForums ndani na nje ya nchi nawasalimia katika jina la 47Mbatizaji maana Mungu wetu sote Niliona 'kibanda' flani kipo Wilaya ya Hai, chenye master mbili na vyumba viwilii. Nimejitokeza nataka kwa niaba ya Ndugu na Jamaa kwa bei tajwa hapo...
  3. House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  4. Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

    Kwa Mujibu wa maelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds, hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana . Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri, mihadarati, wananchi wanyonge kuporwa mashamba, makusanyo hafifu ya kodi, uhaba wa vituo vya afya, miundombinu chakavu na mengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…