Katika taifa ambalo linahitaji kufanya maamuzi magumu na sahihi kuhusu mustakabali wake, hakuna eneo nyeti kama elimu. Elimu ni injini, ni mapafu, ni moyo unaosukuma damu ya maendeleo. Taifa lisilo na mfumo madhubuti wa elimu ni sawa na kutembea gizani bila dira.
Ndiyo maana uteuzi wa viongozi...