Tunakumbushana tu kwamba kutenguliwa, kutumbuliwa na kusimamishwa siyo jambo jipya kwa viongozi wetu wa kisiasa.
Niseme tu CCM ni lazima waendelee kuwa wamoja huyu Ole sabaya siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho kutumbuliwa.
Nakumbuka yule DAS wa Kisarawe alipotumbuliwa na hayati Magufuli...