habil

Sheykh Habil (Persian: شيخ هابيل, also Romanized as Sheykh Hābīl; also known as Qal‘eh Golāb, Sheykh Ābil, Sheykh Hābīl-e Pā’īn, Sheykh Hābīl-e Soflá, and Sheykh Hābīl-e Vostá) is a village in Poshteh-ye Zilayi Rural District, Sarfaryab District, Charam County, Kohgiluyeh and Boyer-Ahmad Province, Iran. At the 2006 census, its population was 219, in 44 families.

View More On Wikipedia.org
  1. mwehu ndama

    Kijana Habil na kabil Ametokomea na utapeli wake

    Huyu kijana mjanjamjanja , aliibuka na kudai ataipararaizi serikali, alikuja na mbinu za kujiliza huko TikTok kwenye Kila live, na madai kedekede ya kujifanya anaushaidi wakutosha wa video na sauti ambao hakuwahi kuuweka hata mmoja hadharani. Mtu huyu aliamua kupita na upepo maana aliaona...
  2. M

    Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

    Namuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
  3. Registered_jf

    Barua za Habil ziko wapi?

    Alisema ameandika kiapo kwenda kwa rais wa ICC chenye kurasa 168. Alisema walituma barua kwenye mashirika ya ndege kuwaambia wasije huku kutakuwa na maandamano yasiyo na kikomo. Mashirika gani, mangapi?... Alisema walituma barua kwa ofisi za mabalozi zote. Alisema watatuma barua Mecca na...
  4. toriyama

    Anachongumza HABIL kuelekea Desemba

    • BOT haijatoa taarifa Rasmi kama mifumo yake imeingiliwa (Ikiwa watakataa kubali atatoa fundisho) • Amefanya mazungumzo na kiongozi wa DP world , chairman wao na CEO WAO • Amemuambia chairman wa DP world kuwa miamala yake ipo wazi (Kampigia simu Leo na kuongea nae kwa simu) • mifumo ya kifedha...
  5. thegreat1510

    Huyu mtu wa kufikirika anayeitwa Habil and kabil huenda ni project ya CCM

    Nina wasiwasi huenda kuna watu wamelipwa kueneza taarifa hizi za uongo. Hawatakupa link ya account ya huyo mtu wao habil Wala screenshot au taarifa yoyote aliyozungumza. Na akianzisha mtu mmoja watakuja wengine kusapot na story zilezile na karibu wote comments zinafanana.
Back
Top Bottom