gundu

  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

    Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena. Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa. Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo...
  2. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally ana gundu?

    Huyu jamaa tangu aingie kuwa afisa habari wa Simba, timu ya Simba haijawahi kuifunga timu ya Yanga, pia mwenendo wa club yetu umekuwa wa hovyo sana, kila siku analeta porojo tu. Mimi nadhani huyu mwamba katuletea bundi, bora asepe tu tumrudishe Manara hata kama hatumpendi. Update...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Shafih Dauda yuko Angola na Simba S.C, nimetokwa machozi

    Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu. Lile jitu linalokesha kusambaza habari za uongo za Simba kushoto na kulia liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana mkosi?

    Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10. Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake mlipswa kuwa wanaume tu, maana mna gundu hatari. Angalieni huyu mwanamke mwenye nyota yake

    Hivi ninyi wanawake ambao mnaishia kupewa nauli ya bajaji tu mlizaliwa kwa ulozi ama?
  6. JamiiForums Tanzania Huenda January Makamba ana gundu

    Kwa nini mambo yake mengi hayakubaliki na watu?! Tuhuma za ujanja ujanja ili afanikiwe mambo yake zimetamalaki mno hali inayoelezwa huenda ni fisadi-pengine?! Mbaya zaidi hakubaliki na kila analolifanya hali inayowapelekea watu kumuona ni mhuni wa kisasa ndani ya kazi ya siasa. Huenda analo...
  7. JamiiForums Tanzania Nahisi kaniachia gundu...

    Habarini wana JF Nilikua namikasa isiyo elezeka kama ifuatavyo: Mwaka 2017 - nilikutana na mdada flan nkamtongoza akakubali lakin tulikuaja kuachana cz alinikaushia. Mwaka huohuo tena nikaopoa katoto kakanipenda sanaa lakin nkajakugundua kua anamasela wengi mwishowe nayeye akamua kunikaushia...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

    MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo. Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea...
  9. JamiiForums Tanzania JE KUWA NA MWANAMKE/MWANAUME MWENYE GUNDU?

    katika harakati zetu za maisha kuna mengi kama wanadamu tunakutana nayo/pitia kufikia malengo yetu ya maisha, pia katika malengo yetu unajikuta unapata mwenza/mchumba/mpenzi ila muweze jenga maisha. Katika mahusiano yenu unakuja kuona mabalaa yanakuandama tu na hausogei kimaendeleo kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…