goli

Goli Otok (pronounced [ɡôliː ǒtok]; lit. 'Barren Island'; Italian: Isola Calva) is a barren, uninhabited island that was the site of a political prison which was in use when Croatia was part of Yugoslavia. The prison was in operation between 1949 and 1989.The island is located in the northern Adriatic Sea just off the coast of Primorje-Gorski Kotar County, Croatia with an area of approximately 4.5 square kilometers (1.7 sq mi). Exposed to strong bora winds, particularly in the winter, the island's surface is almost completely devoid of vegetation, giving Goli Otok ("barren island" in Croatian) its name. It is also known as the "Croatian Alcatraz" because of its island location and high security.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania AFRIKA MASHARIKI WE LACK FOOTBALL CIVILIZATION, COURTESY & COMMON PRINCIPLES; goli la tatu na la ushindi kwa Morocco ni tafsiri ya perfect brain.

    Happy Sunday Wana JF, Sina maneno mengi nadhani Wana sports fainali tulitazama wote iliyofanyikia pale Kenya. Nilishawahi kusema Morocco ni football brain na Jana wameonyesha hicho kitu, nawaza tu kwa wachezaji wetu nani angewaza ku- shoot vile ( out of sarcasm). Tuna Cha kujifunza kutoka kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Messi kazidiwa na Ronaldo mechi 166, kazidiwa goli 64, na Messi anaongoza kwa assisti 131

    PICHA INAJIELEZA...WAZEE WA MAGOLI MSIJISAHAU ANDUNJE AINAKUJA
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mzize kukosa goli la wazi ndipo dili la nje likafutika ghafla

    Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
  4. JamiiForums Tanzania Goli la Uganda linakubalikaje katika zama za VAR?

    Hizi nchi za Afrika Mashariki ziache kulazimisha ubingwa kwa njia za panya. Katika mechi ya Uganda vs South Africa, goli la kwanza la Uganda lilikuwa clear offside. Inakuwaje mshika kibendera hadi wasaidizi wa VAR waliruhusu lile goli? Katika zama hizi za VAR, kukubali goli kama lile ni...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Goli la kibabe la Shomari Kapombe limesafisha njia nyeupe kwa Timu yetu ya Taifa kuelekea nusu fainali na hatimaye tutashinda.

    Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan. Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania. Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo. Bila kumsahau Rais wetu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania MATOKEO YA GOLI LA MAMA: TAIFA STARS WAANZA CHAN KIBABE

    Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso. Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Venance kukosa goli la Ubingwa timu yake imeyumba hadi leo

    GT. Venance alikuwa ni namba sita machachari kweli kweli alikuwa tegemeo kubwa sana la timu yake . Kile kitendo cha kukosa goli la wazi akiwa yeye na golikeeper kimeigharimu timu yake hadi leo. Namba kumi wao tegemeo alikula umeme hivyo Venance akashikilia dimba, wapinzani walizidisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mkipeleka timu halafu ifungwe goli 5. Maama yangu weeeh

    Wakati mashabiki wengi wanasema timu isicheze. Sasa nyie pelekeni lakini muombe Mungu Simba ishinde tu. Itokee ifungwe mtawaeleza nini mashabiki wu
  9. JamiiForums Tanzania Unafunga goli 3 za offside ndani ya mechi mbili halafu unatoka kujifanya mwanaharakati wa mpira

    Ninavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao. Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape wanayanga. Hawa walioshupaza shingo zao, wakaita hadi TRA na TAKUKURU, wakaenda CAS, wakaenda Mahakama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Goli la Mama na ndege zake siyo shida, ila kusuruhishwa na Mama ndiyo kuingilia soka..! Bongo itaendelea kuwa bongo!

    Simba, juzi juzi tu kuelekea fainal yenu, Mama alitoa karibu gharama zote simba kwenda na kurudi Moroco, mlimpongeza mama kwa vicheko na furaha meno yote 32 nje nje kwa furaha mlokuwa nayo Leo kawaita kuwasuruhisha, mnasema anaingilia soka na mambo yasiyomhusu Yanayomhusu ni kutoa pesa za goli...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya dogo Shukuru kumchakaza goli 4 Sisco, Noel ataka milioni moja ndio acheze na dogo Shuku.

    Baada wiki iliyopita Dogo Shukuru kumtandika goli 4 kwa michezo 24 waliyocheza dhidi ya Dogo Sisco, Dogo Shukuru ametamba kumtaka kucheza na Noel Namaloe ila Noel kama kamkimbia dogo kimtindo anataka awekewe dau la milioni moja ndio acheze na dogo Shukuru. Ikumbukwe wiki chache zilizopita...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Karma ni Karma huwa inawatafuna sana wanafiki, refa aliyeinyima Yanga goli halali kule Afrika Kusini Simba wakakenua leo hii ndio analaumiwa

    Mashabiki wengi wa Simba ni awajielewi kabisa,,Leo hii wanapiga mayowe eti refa kawanyonga na wamesahau ni refa uyu uyu alikataa goli halali la yanga kule kwa madiba na wakakenua meno yote 32 nje? Goli lile laiti lingekubaliwa lingeipekeka yanga hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa laana ambayo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simba anashinda goli 4 na anachukua ubingwa leo

    Wakuu Uzi ndo umeisha hivo. Kipindi cha kwanza Simba anashinda moja au mbili then kipindi cha pili anashinda 3 au mbili jumla goli 4. Nimemaliza
  14. JamiiForums Tanzania ADUI YAKO MWOMBEE NJAA..NA ZNZ MNAFUNGWA NA BERKANE KUANZIA GOLI 2+ NIKO KWA SUGUYE NAOMBEA MAADUI ZANGU MPAKA SAA NNE HAPA NIMEANZA KUWAPASUA WATEKET

    MUNGU WA BABA YANGU SUGUYE NABII HAJAWAHI KUSHINDWA ALINISHINDIA MAOMBI MECHI YA MOROCCO MUNGU HUYUHUYU WA NABII SUGUYE TUNAKWENDA KUSHINDA TENA HAPO ZNZ TEAM BERKANE HAPA TUKO KWENYE MFUNGO WA SIKU TATU MWISHO KESHO NASEMA HIVI TUNAHARIBU MAADUI ZETU WOTE TUNAKEMEA WASHINDWE LOLOTE...
  15. JamiiForums Tanzania Match ya Leo Simba Akila Kichapo cha kuanzia goli 3 msahau Match kuchezwa kwa Mkapa.

    Nahis hamkumuelewa Msemaji Ahmed Ally...simba leo wanapima upepo wakila goli 3 kwenda Juu watakua willingly kucheza Aman ila ikitokea ni goli Moja au Mbili kafungwa watalazimisha hata serikali iingilie kati Match ichezwe Kwa Mkapa. After game nitakuja kuwaeleza kwa undani ndio muelewe why hata...
  16. JamiiForums Tanzania Nipigwe ban Simba Leo asipo pata ushindi wa goli moja au kutoka moja moja

    Ndio ivyo
  17. JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyekataa goli la Aziz K dhidi ya Mamelodi amepangwa kuchezesha fainali Simba VS RS Berkane Mei 25, Zanzibar

    CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25 huko Zanzibar. Hawa ndio waamuzi wa VAR kwa mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane • Mkuu wa VAR...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona shinikizo la kupeleka Mchezo Wa Maafande vs Mwamposa FC Uwanja Wa mkwakwani kubuma, Sasa Wanamsumbua mchezaji mwandamizi (Kona goli)

    Uwanja Wa Kambi ya jeshi unalindwa hakuna mtu(shabiki) anayeweza kwenda usiku kuuchimba chimba kama wafanyavyo kwenye viwanja Vingine. Hawa mabwana hawaishiwi mbinu, za ndani kabisa tena za moto kutoka kwenye vyanzo vyangu kuntu (sitomtaja) toka majuzi wanamtafuta mchezaji Wao captain Fantastic...
  19. JamiiForums Tanzania Hata Goli la mkono la Maradona lilikuwa Goli. Simba songeni mbele

    Tarehe 22/06/1986 Diego Amando Maradona alifunga goli kwa mkono dhidi ya timu ya Uingereza. Goli hilo alilofunga dhidi ya Kipa mahiri wa England zama hizo Peter Shilton, mpaka leo limeacha gumzo kwenye dunia ya mpira wa Miguu. Lakini mwisho wa siku goli hilo ambalo kwa picha za marejeo...
  20. JamiiForums Tanzania Nimekatishwa mchezo wakati naelekea kufunga goli

    Hii sasa naona mambo yanaenda kuwa magumu Siku za karibuni nikiwa na mwenzangu tunafanya tendo Mara ile nakaribia nikakatishwa Ghafla kumuuliza nini shida akanijibu hivi Nanukuu' hivi ndivo wewe hunifanyia kila siku' mwisho wa kunukuu. Kwakweli mpaka sasa bado natafakari Mwanzoni mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…