goli la mama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kiko wapi? Milioni tano za goli la mama, simsikii Msigwa wala Mchengerwa,

    Nauliza tu Msigwa uko wapi, mbona hatusikii tena goli la mama labda Simba ingeshinda Chezea Watanganyika na sio wazungu Kwisha habari zenu
  2. Million 5 za goli la mama zimezika mpira wa Tanzania

    GT Habari ndiyo hiyo kwisha kabisa. Vibanda umiza kwa sasa wanapitia wakti mgumu sana mapato ya uwanjani hakuna TFF mtakula nyasi hadi mkome. Hata kwa mechiza ulaya.watu hawana interest hata kidogo. FIFA wanaposema siasa zijitenge na mpira huwa wana maana kubwa sasa. Sasa uchawa wa kwenye...
  3. Goli la Mama, lakini Kombe halionekani: Taifa Stars Kati ya Ahadi na Kampeni

    Kauli ya Serikali kwamba “goli la mama lipo… safari hii tutavunja rekodi” imeamsha mjadala mzito miongoni mwa wadau wa soka nchini. Wakati fainali za AFCON zikikaribia Desemba 21, 2025, matumaini yanapandishwa juu kupitia kauli tamu, zawadi nono na misafara ya wajumbe. Lakini swali la msingi...
  4. ITV: Rais Samia afanikisha timu nne kufuzu makundi Afrika

    Jamani naelewa vyombo vya habari vinamuogopa huyu mama, ila hii ni too much, khaaa 😂😂 =========== Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameandika historia mpya kabisa, baada ya kufanikisha timu nne za mpira wa miguu Tanzania kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Afrika. Timu hizo ni...
  5. Fedha za goli la mama zingepewa academy za mpira zingesaidia sana

    Kuna mtu namjua anamdogo wake yupo academy flani hapo morogoro ila ile academy kuna kipindi hata mipira haina inabidi wamuombe mpira mdogo wake jamaa aliyemununulia Changamoto za academy za mpira Tanzania Miundo mibovu ya viwanja Kutokuwa na gym, na indoor training nyakati za mvua Ufinyu wa...
  6. GE2025 Mwananchi: Samia ni Rais kweli lakini haonekani! Si anawapa hela akina Harmonize na Shomari Kapombe, hao ndio wakampigie kura!

    Wakuu, Mwananchi anahoji kwanini Samia anasaidia matajiri wakati kuna watu kibao wa hali chini wanaohitaji msaada huo zaidi? Anakaa kutoa hela kwenye goli la mama, mara kumwaga hela kwa wasanii na kuacha watanzania wakifa kwenye umasikini wa kutupwa! Kwa namna hii hakuna Rais anayeitwa Samia...
  7. Singida Black Stars Wapokea 'Goli la Mama' Tsh. 10M Baada ya Ushindi wa CAF Confederation Cup

    Singida Black Stars wamepiga hatua kubwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushinda mechi yao ya pili mfululizo kwa kuilaza Rayon Sports ya Rwanda 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Baada ya ushindi huo, Rais Samia Suluhu Hassan aliwazawadia shilingi milioni 10 maarufu...
  8. Msigwa awakabidhi Azam Fc Milion 10 za Goli la Mama

    Msemaji mkuu wa serikali ambaye pia ni katibu mkuu wa wizara ya Habari sanaa, utamaduni na michezo Greyson Msigwa amekabidhi kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwa klabu ya Azam kama sehemu ya hamasa katika mashindano ya Kimataifa, Azam Fc walipata ushindi wa Goli 2 dhidi ya El Merriekh ya sudan...
  9. GE2025 Gerson Msigwa: Goli la Mama liko Pale Pale – Goli 1 Vilabu shiriki kupewa 5M, Robo 10M, Nusu fainali 20M

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa Amezitakia kheri klabu za Tanzania Simba, Yanga pamoja na Singida Black Stars ambazo hii leo zinashiriki katika mashindano ya kimataifa barani Afrika ngazi ya klabu bingwa na shirikisho...
  10. P

    MATOKEO YA GOLI LA MAMA: TAIFA STARS WAANZA CHAN KIBABE

    Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso. Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea...
  11. M

    Goli la Mama na ndege zake siyo shida, ila kusuruhishwa na Mama ndiyo kuingilia soka..! Bongo itaendelea kuwa bongo!

    Simba, juzi juzi tu kuelekea fainal yenu, Mama alitoa karibu gharama zote simba kwenda na kurudi Moroco, mlimpongeza mama kwa vicheko na furaha meno yote 32 nje nje kwa furaha mlokuwa nayo Leo kawaita kuwasuruhisha, mnasema anaingilia soka na mambo yasiyomhusu Yanayomhusu ni kutoa pesa za goli...
  12. PreGE2025 Rais Samia apandisha dau: Kila goli ni milioni 30 baada ya Simba kufika fainali Kombe la shirikisho Afrika (CAFCC)

    Katika hatua ya fainali mechi mtakayoshinda, goli moja, goli la mama ni shilingi milioni 30” maneno ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitangaza dau jipya ambalo mnyama atajinyakulia katika kila goli...
  13. Goli la Mama Nusu Fainali CAFCC: Milioni 20 kwa goli moja

    Msigwa ametoa tamko hapa Azam Sports HD, kwa hatua ya nusu fainali goli moja ni 20 milioni. Sipendezwi na hizi kampeni
  14. PreGE2025 Rais Samia apandisha dau 'Goli la Mama' kwa Simba SC, kila Goli TSh. milioni 10 kwa mchezo wa CAF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu inawakilishwa na Simba Sc pekee kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Akithibitisha ongezeko la thamani hiyo...
  15. PreGE2025 Rais anazipa Simba na Yanga pesa kila goli (Goli la Mama), anazitoa wapi? Msigwa ajibu "Pesa anazotoa ni ndogo"

    Wakuu Mmesikia majibu ya Semaji la Serikali Msigwa? Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amemjibu kuhusu hpla za 'Goli la Mama' kwa timu za mpira wa miguu za Simba na Yanga ambazo hutolewa kama motisha baada ya kufunga goli kwenye michuano ya Kimataifa
  16. R

    A right thinking Leader of a country unaweza kulipia kila goli 5M, kununua ndege ya Rais etc wakati una madarasa mabovu kwa watoto wa taifa lako?

    Angalia maajab ya viongozi wetu. Una Rais analipa kila goli 5M wakati tuna watoto wa taifa hili wako ndani ya kitu kama hiki eti ni darasa! Tukiandika wanasema sisi wachochezi... hapana, hakuna mwenye nia mbaya na taifa ltu ni kutaka kukumbushana wajibu na si kuwa machawa! Naamini kama siyo...
  17. M

    'Goli la Mama' ni siasa ziszofaa kwa taifa kama hili

    Walimu, Manesi na Madaktari wanafanya kazi kwenye mazingira magumu lakini huwezi sikia eti Mama ameendaa motisha kwa ajili yao na kukabidhiwa hadharani Sasa hawa wacheza kandanda wanafaida gani kwa taifa letu mpaka mama awape mil 5 kwa kila goli?
  18. Pesa ya goli la Mama, haongezi hamasa yoyote tusiwe wanafiki

    Rais wetu amekuwa akimwaga mapesa kwenye mipira, ati anaweka hamasa. Lakini kimsingi hakuna hamasa yoyote anayoweka zaidi ya hizo timu kufanya siasa na unafiki Yaani Aziz ki anavuta million 40+ Kwa mwezi, Ateba anavuta million 30+, waanze kugombania million 10 ambayo itagawanywa Kwa wachezaji...
  19. Taifa Stars wapewe milioni 5 yao ya goli la kujifunga kule DRC,italeta hamasa kwa mechi ijayo

    Kipindi niko shule headmaster wetu alukuwa anatoa xawadi kwa wanafunzi watatu bora na watatu wa mwisho. Hii ilipelekea wale watatu wa mwisho kupambana sana jukwepa zawado ya nchongo kwa muhula unaofata. Stars wanechoma kule DRC wapewe hela yao ya goli la mama,huyohuyo aliyechpna atachomoa nechi...
  20. Majadiliano ya kijamii kuhusu ununuzi wa magoli na athari zake katika soka tanzania

    Tupo na jamaa zangu kijiweni, tukifanya mazungumzo kuhusu soka. Ghafla mmoja wetu akatokea na kusema, "Unajua, mama anaupiga mwingi sana, hasa kwenye suala la kununua goli moja kwa milioni tano!" Mwingine alihitaji ufafanuzi, akahoji, "Anaweza kununua magoli kisha anayauzia wapi?" Kabla ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…