godown

  1. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Godown inahitajika haraka

    Nahitaji godown haraka kwa maeneo ya Mwenge. Ofa Yangu ni 600000 kwa mwezi na nahitaji ndani ya mwezi mmoja pekee
  2. C

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri na rahisi ya ujenzi wa ghala la kuhifadhi nafaka ( warehouse / godown)

    Habarini za Leo wanajumuia? Naombeni mwenye uelewa wa njia rahisi na nafuu kwenye ujenzi wa ghala la kuhifadhia nafaka. Ningependa ushauri wa kuhusiana na vipimo, materials za ujenzi Kati ya cement blocks, steel prefabs au za kuchoma. Kwenye vipimo napenda kujua ghala dogo kabisa ushauri liwe...
Back
Top Bottom