Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imeahirisha usikilizwaji wa mashahidi wa upande wa mashtaka katika kesi ya makosa ya mtandao inayomkabili Mchungaji Godfrey Malisa, baada ya mshtakiwa kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo akisubiri msaada wa kisheria kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)...
Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau!
Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika!
Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
Mchungaji Godfrey Malisa, aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro akikabiliwa na kosa la uhaini. Kesi hiyo (Namba 000028333 ya 2025) inatarajiwa kutajwa kesho, Ijumaa, Januari 2, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
For those of you who don’t know Pastor Godfrey Malisa, here’s a quick rundown:
Who is Godfrey Malisa?
Pastor Godfrey Malisa is a former member of Tanzania's ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
He joined CCM in 2021 after being involved in other parties and ran for positions like...
Wakuu
Twaha Mwaipaya amedai kuwa amepokea taarifa za aliyekuwa mwanachama wa CCM, Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania).
Wote tunafahamu maandamano ni haki ya kikatiba, ila kwa utawala huu, maandamano yamegeuka kuwa ni kosa la uhaini.
Kwa msingi huo na nikirejea kesi ya Lissu kuhusu uhaini, Dr. Malisa ataepuka kesi ya uhaini kwa hoja ya kumtisha Rais kama tulivyoona kwenye kesi ya Lissu?
Na je, Dr. Malisa yuko...
Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania) baada ya kutangaza kuundwa kwa kamati hiyo siku chache zilizopita. Amesema...
Chukua tahadhali, huyu Mama ameshavua nguo zote za ubinadamu. Usifanye mzaha,usalama wako uko on test, tena test kubwa.
Chukua tahadhali! Umemshika masharubu simba mla watu. Take care please.
Aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa, amefungua rasmi kesi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iliyoko The Hague, Uholanzi akiwashitaki Rais Samia Suluhu Hassan na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camillus Wambura, kwa madai ya uvunjaji wa haki za...
Nakupongeza kwa kutenda haki, kama amechaguliwa kinyume na Katiba ya ACT, mtengue kama ulivyofanya.
Lakini mbona scenario ya Mpina ni sawa na ya Samia? why double standards
Ninaomba jibu ya dokezo langu hapo juu.
Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkazi wa Mkoani Kilimanjaro, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, amesema atamuunga mkono Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, na ataendelea kutafuta haki kwenye vyombo vya sheria ili kuhakikisha CCM inarejea kwenye misingi...
Rekebisha hicho Jaji alichokisema kuwa umekikosea, then refile. Kama imekuwa struck out, hiyo inakuwezesha ku refile your case!
Let history have it that you fought for what you believed to be Unjust/wrong/unconstitutional!
Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na aliyekuwa kada wa CCM, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa iliyokuwa isikilizwe Agosti 14, sasa imesogezwa hadi Agosti 19, 2025.
Katika shauri hilo linalosikilizwa na jopo la mawakili watatu, Dkt Malisa anaiomba mahakama kutoa tafasri na uamuzi wa usahihi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.