Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amesema kuwa mwezi wa Oktoba ni kipindi muhimu mno kwa Watanzania kuungana na kushikamana kwa dhati ili kuonesha mshikamano wa kitaifa na kuendeleza amani. Kiliba...
Vijana haswa hawa viongozi wa chuo wanajisahau sana baadaye wakirudi mtaana wanaanza kulalamika tena kwa hivi sasa wana platform wanaishia kuimba mapambio.
===
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za elimu ya Juu Nchini Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na viongozi WA Serikali y Wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.