goba

Goba is a town and separate District located in the Bale Zone of the Oromia, Ethiopia approximately 446 km southeast of Addis Ababa, this city has a latitude and longitude of 7°0′N 39°59′E and an elevation of 2,743 meters above sea level.
The town is known for its Wednesday market and for honey, basketry and cotton shawl making; Bale National Park is 10 km to the southwest. A few kilometers outside of Goba are the remains of an old rock church. Goba shares Robe Airport (ICAO code HAGB, IATA GOB) with neighbouring Robe.
Ethiopian Airlines has a scheduled flight four times a week connecting Goba to the capital Addis Ababa and to the southern city Arba

View More On Wikipedia.org
  1. Nina milion 5 nataka eneo goba wakuu

    Kama kichwa h'cha habari kinavyojieleza natafuta eneo goba Nina hicho kiasi Ili niweze kujenga Kwa mwenye eneo naomba tufanye biashara MODS: msihamishe huu Uzi tafadhali uacheni jukwaa hili hili
  2. Eneo Linauzwa Njia ya Goba Kwa Robert

    Eneo hili lipo njia ya koba kutokea Mbezi Magufuli ni karibu Zaidi pia kutokea mjini Kwa njia ya goba ni Sawa pia. Mita 100 kutoka usawa wa eneo hadi barabara kuu ya Goba. Location kituo cha daladala kinaitwa Kwa Robert. Eneo Lina nyumba ambayo anaishi muuzaji wa eneo. Ukubwa wa eneo ni sqm...
  3. Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  4. Foleni kali kuanzia Goba centre mpaka njia nne kueleka mbezi mwisho, ni janga lingine linalokua kwa kasi

    Habari wakuu, Siku za hivi karibuni kumekua na foleni kali sana kuanzia saa kumi na mbili jioni kuendelea, foleni hiyo inaanzia pale Goba centre mpaka njia nne na ile barabara ya kuelekea mbezi mwisho, mara kadhaa nimeshakutana na hii foleni nyakati za jioni nikiwa natoka kazini, imekua kero...
  5. KERO Maji hayatoki zaidi ya wiki maeneo yote ya Goba

    Habari wakuu, Kumekuwa na changamoto ya maji takriban week sasa Goba mtaa wa Tegeta A njia ya kuelekea kwa Bedui, na maeneo mengine yote ya Goba maji yamekuwa hayatoki na hata mtaani wanaouza hawapatikani kwa hali hii wananchi wa huku tunateseka sana, mwenye kujua chanzo cha hii kero atufungue.
  6. Nyumba inauzwa Goba Dar es Salaam

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  7. Nyumba inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  8. Nauza Kiwanja Goba Njia Panda Tegeta A meta 130 toka Skymark Supermarket

    Wakuu nauza kiwanja changu mwenyewe hakina Dalali. Bei mil 200 Ukubwa 1405M² Barabara zinapitika muda wote, kipo kabla ya kanisa la Methodist Barabara ya lami ya Goba Mbezi Luis ipo 130M toka kilipo kiwanja Kina Hati ya miaka 99 imeshaisha 4 tu Maji na umeme vipo jirani Serious buyer PM only
  9. Nyumba inauzwa Goba

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  10. Nyumba nzuri ya ghorofa kisasa goba half lanod inauzwa

    Modern House for Sale – Goba Half London An exceptional opportunity to own a contemporary underground single-storey home: 5 Self-contained Bedrooms, including a Grand Master Suite 2 Elegant Living Rooms Dedicated Study Room Spacious Dining Area Fully Equipped Modern Kitchen Servant's...
  11. Nyumba inauzwa Goba

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli. *Ina...
  12. House4Sale Nyumba nzuri yakuhamia, vyumba 3, Tshs.60 milioni, Goba muungano

    ...
  13. Nyumba yenye vyumba vitatu inauzwa Tshs.59 milioni, Goba njia nne

    ...
  14. D

    Shule ipi ya msingi inafanya vizuri katika matumizi ya lugha ya kiingereza Kwa wanafunzi wake maeneo ya Mbezi beach au Goba

    Salam wanajukwaa.. Kichwa cha mada chajieleza! Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza...
  15. K

    KERO Wakazi wa Matosa Uzaromoni – Goba tuna changamoto ya Kalavati, huu mwaka wa pili TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Tunaomba ujumbe wetu huu ufike hadi kwa Waziri wa Ujenzi, kwa muda wa Miaka miwili, sisi Wananchi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam tunapitia changamoto kubwa ya usumbufu wa maji ya mvua kutokana na udogo wa ‘Kalavati’ Tumelalamika sana...
  16. KERO DAWASA ni jipu lililoiva, Goba hatuna maji yapata week sasa

    Yani ni namna gani unaona kabisa Serikali bado haijawa serious, imagine maeneo ya Goba maji ya Dawasa hayatoki yapata week sasa na hatujui chochote kinachoendelea. Kufanya kazi serikalini nimeamini ni raha sana, yani huduma hutoi na mshahara unaingia!
  17. Nyumba Inauzwa Goba Dar es Salaam

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli. *Ina...
  18. Eneo linauzwa Goba Njia Nne kwenye lami

    Eneo linauzwa Goba Njia Nne kwenye lami kabisa. 1000 sqm. Limepimwa. Bei Mil.430. Contact 0788893364
  19. Nyumba inauzwa Goba

    Eneo lenye nyumba iliyofikia umaliziaji inauzwa Goba, Dar. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Eneo: *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli. *Ina Vyumba vitatu vya kulala, chumba...
  20. Goba kulangwa plots for sale kuanzia sqm 400 mpaka 2000

    Goba kulangwa surveyed plots for sale 1.5 km.for main road 50000tsh per square meter Kuwahi kwako ndio kupata Viwanja vinaanzia square meters 400 mpaka 2000 Mradi huu vimebaki vichache 0742 892 195 Call whatsapp
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…