goba mpakani

Goba (Kata ya Goba in Swahili) is an administrative ward in Ubungo District of the Dar es Salaam Region in Tanzania. The Wazo, Mbezi Juu, and Makongo wards of Kinondoni MC border the ward on the north and the east, respectively. The ward is bordered by Saranga to the south and Mbezi to the west. According to the 2012 census, the ward has a total population of 42,669.

View More On Wikipedia.org
  1. Mama Nehemiah

    Walimu shule ya msingi Goba Mpakani hamtendi haki

    Leo 14/07/2025 wanafunzi wa darasa la tatu wanaosoma shule ya msingi Goba Mpakani iliyoko Dar es Salaam ambao jumamosi ya 12/07/2025 hawakwenda tuisheni wamechapwa fimbo na walimu wao. Mwalimu mkuu wa S/msingi Goba Mpakani tunaomba uliangalie suala hili kwa umakini. Kwanini wanafunzi...
  2. Ochoa Real Estate

    Plot4Sale Eneo linauzwa Tsh. Milioni 8, lipo Tegeta A Goba Mpakani

    Eneo linauzwa lipo Tegeta "A" Goba mpakani mtaa wa Mlimani City Dakika 2 tuu kutoka barabara kuu ya Mtaa ambayo itawekwa lami hivi karibuni. Kutoka site mpaka Goba Center ni mwendo wa dakika zisizo zidi 15 kwa gari/pikipiki. Kiwanja kipo mjini haswaa. Kiwanja kina size ya mita 10 X 10 yaani...
  3. Mshobaa

    Barabara ya Goba mpakani, hii sio hujuma?

    Habari wakuu, Mnamo mwaka Jana zilikuja taarifa hapa juu ya hii barabara ya Goba mpakani ilivyokuwa hatarishi kupitika baada ya kupigiwa kelele hapa hapa jamvini wahusika mara moja wakaenda kuichonga. Sasa basi hii barabara kwa kweli ina hali mbaya sana kwa sasa, wahusika ni Kama hawaioni...
Back
Top Bottom