gianni infantino

Giovanni Vincenzo Infantino (Italian pronunciation: [dʒoˈvanni vinˈtʃɛntso ˈdʒanni iɱfanˈtiːno]; born 23 March 1970) is a Swiss-Italian football administrator and the president of FIFA since February 2016. He was re-elected in June 2019 and in March 2023. In January 2020, he was also elected a member of the International Olympic Committee.
As President of FIFA, he oversaw the 2018 FIFA World Cup in Russia, which he described as "the best World Cup ever" and for which he accepted Order of Friendship medal given to him by Vladimir Putin. He oversaw the 2022 FIFA World Cup in Qatar during which time he defended or minimized controversies surrounding Qatar's human rights record, again describing it as "the best World Cup ever." He played a key role in the selection of Saudi Arabia as host of the 2034 FIFA World Cup, as he advocated for a Saudi bid and restricted the hosting eligibility, which reduced the number of potential competing bids.
Under his leadership, FIFA began engraving Infantino's name on the FIFA Club World Cup trophy.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Trump: Itakuwa kosa kubwa Infantino kuondolewa FIFA

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema itakuwa kosa kubwa sana Rais wa FIFA, Gianni Infantino akiondolewa madarakani, na kwamba huenda michuano ya Kombe la Dunia haitofanikiwa iwapo ataondolewa. Kumekuwa na shinikizo la kumtaka Infantino aondolewe kufuatia kukwama kwa mpango wake wa kuvutia...
  2. JamiiForums Tanzania Luis Figo amtaka Ifantino kujiuzulu

    Gwiji wa soka duniani, Luis Figo, ametoa mashambulizi makali dhidi ya Rais wa Shirikisho la Soka la Duniani (FIFA), Gianni Infantino, akimtaka aondoke madarakani mara moja akidai uongozi wake umeathiri heshima ya taasisi hiyo kubwa ya soka. Mchezaji huyo wa zamani wa Ureno amedai Infantino...
  3. JamiiForums Tanzania Ifantino aomba radhi, bado ni raisi wa fifa

    Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino, ameomba radhi kwa makosa yaliyofanyika katika mpango uliokuwa ukilenga kuuza sehemu ya hisa za mashindano ya FIFA kwa wawekezaji binafsi kupitia kampuni tanzu ya FIFA Forward Enterprise (FFE). Licha ya kukosolewa vikali, viongozi wakuu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Infantino aomba radhi, Wajumbe wamuunga mkono bado ni Rais wa FIFA

    Agosti 5, 2026, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeomba radhi kutokana na makosa yaliyofanywa katika mchakato wa pendekezo lililoondolewa la kuuza haki za kibiashara zinazohusiana na Kombe la Dunia. Wakati huohuo, viongozi wa shirikisho hilo wamethibitisha tena kumuunga mkono rais wake...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA Gianni Infantino aitisha kikao cha dharula

    Rais wa FIFA Gianni Infantino amewaita viongozi wakuu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwenye mkutano nchini Morocco siku ya Jumatano, tarehe 5 agosti, kufuatia siku nyingine ambapo rais wa shirikisho hilo amekabiliwa na ukosoaji mkali kuhusu mpango wake uliositishwa wa kuuza hisa za...
  6. JamiiForums Tanzania FIFA: Hakuna anayeuza soka", Ni mpango wa rais Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa

    Shirikisho la soka duniania FIFA limesema "hakuna anayeuza soka", lakini mpango wa rais wake Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa katika biashara za mashindano ya FIFA umeibua upinzani mkubwa. - UEFA imetishia kususia Kombe la Dunia ikiwa mpango huo utaidhinishwa, huku Concacaf...
  7. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa FIFA Apanga Njama za Kumuondoa Gianni Infantino

    Mattias Grafström amekuwa mshirika wa karibu sana na mtu wa kuaminika wa Gianni Infantino kwa miaka mingi ndani ya FIFA, akihudumu kama Mkuu wa Wafanyakazi kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu. Kuna madai kuwa Katibu Mkuu wa FIFA, Mattias Grafström, anapanga njama za kumuondoa madarakani Rais wa...
  8. JamiiForums Tanzania FIFA yafikiria uwezekano wa Kombe la Dunia kushirikisha timu 64 ifikapo 2030

    Hapa hata Taifa Stars itapata nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia au Wadau mnasemaje? Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amesema shirikisho hilo litajadili uwezekano wa kuongeza idadi ya timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia la mwaka 2030 kutoka timu 48 hadi 64. Amesema pendekezo hilo litajadiliwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Shirikisho la Soka la kimataifa (FIFA), Gianni Infantino aipongeza Ghana (Black Stars) kwa kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026

    Rais wa Shirikisho la Soka la kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ametuma salamu za pongezi kwa timu ya taifa ya Ghana (Black Stars), kufuatia kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026 litakalofanyika Canada, Mexico, na Marekani. Ghana ilipata nafasi ya kuwa miongoni mwa timu ya Afrika...
  10. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yatangazwa kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia 2034

    Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limethibitisha rasmi kuwa Kombe la Dunia la 2034 litaandaliwa na Saudi Arabia. Uamuzi huu ulitangazwa katika mkutano wa mtandaoni uliofanyika Zurich, Uswisi, chini ya Rais wa FIFA, Gianni Infantino. Saudi Arabia ilikuwa mgombea pekee aliyewasilisha nia yake kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…