ghorofa la kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Watatu kuongezeka Kesi ya Kuporomoka kwa ghorofa la Kariakoo

    Dar es Salaam. Wafanyabiashara wengine watatu wa Kariakoo, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka ya 31 ya kuua bila kukusudia. Wafanyabiashara hao ni Soster Nziku (55) mkazi wa Mbezi Beach, Aloyce Sangawe (59) mkazi wa Sinza na Stephen Nziku (28) mkazi wa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Niffer atoa majibu baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutaka akamatwe kwa uchangishaji wa fedha kwa ajali ya maafa Kariakoo

    Mfanyabiashara maarufu Jennifer Jovin, anayefahamika kama Niffer, ametoa majibu yake baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, kumtaja katika hotuba yake ya hadhara akitaka afuatiliwe na kueleza nani aliyempa mamlaka ya kuchangisha fedha kufuatia ajali ya...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kutokana na ajali ya ghorofa la Kariakoo

    Sitaki salamu, ninaingia kwenye mada moja kwa moja. Wazungu wanasema experience is the best teacher. Ajali ya kuanguka ghorofa la Kariakoo imenipa mafunzo mengi. Bila kupoteza muda, ajali hii imenifundisha mambo mengi sana, yakiwemo haya hapa: 1. Watawala wa nchi hii hawana huruma kwa wanyonge...
Back
Top Bottom