gezaulole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kanisa Mbadala Wa St Joseph Dar, Lililopaswa kujengwa Gezaulole Sasa Kujengwa Pugu

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddeus Ruwa’ichi ametangaza kwamba kutokana na changamoto zilizopo katika eneo la Gezaulole ikiwemo maji kutuwama, mchakato wa ujenzi wa Kanisa Kuu Mbadala (Theotokos) lililotakiwa kujengwa Gezaulole, sasa litajengwa Pugu...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kanisa Kuu mbadala wa St. Joseph kujengwa Gezaulole, Jimbo Kuu - Dar es Salaam

    Jina la Kanisa: Bikira Maria Mama wa Mungu Cathedral Umbo: Msalaba Ukubwa: 13,000sqm Idadi ya waumini 9,816 Minara mikubwa 4. Milango 19 Altre ya walei na ya makrelo Kisima cha ubatizo Vituo vya njia ya msalaba Minara midogo 12 Sakastia 3 Maaskofu 1 Mapadre 2 Waministranti 3 Box...
  3. SaidJuma123

    JamiiForums Tanzania Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
Back
Top Bottom