Kutoka kwangu mwenyewe The Palm Beach
1. CHADEMA inawataarifu wana CHADEMA wote, wafuasi, wapenzi na wote wanaounga mkono mapambano dhidi ya uhuru, haki, demokrasia na utawala wa sheria ktk taifa na nchi yetu popote pale mlipo hapa nchini na duniani kote kwamba, tutakuwa na mapokezi makubwa...
KITUKO KILICHOTOKEA MAHAKAMANI.
Wakati Mkuu wa Gereza yaani BWANA JELA ambae ni Andrew Shabani Ntamamilo alipohojiwa na Mhe. Tundu Lissu kuhusu Kuwazuia kabisa Mawakili kama Vile Deogratias Mahinyila, Dickson Matata lakini pia viongozi wakuu wa Chama akiwemo John Heche, Makamu Mwenyekiti...
Mkuu wa Gereza la Ukonga, Bwana Andrew Shabani Tamanjiro, amedai kuwa alipofika Ukonga Prison hakukuta utaratibu wa ndugu wa Mwenyekiti kumtembelea gerezani siku ya Jumamosi na wanachama kumtembelea siku ya Jumapili.
Aidha, amesema kuwa hakujua wala hakukuta mazingira ambayo Mwenyekiti Tundu...
Flashback:
Kumbuka hili ni Shauri la kikatiba Na. 7300 lililofunguliwa na mawakili Maduhu William, Nashon Nkungu na Paul Kisabo dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza, Mkuu wa Gereza la Ukonga na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Lengo la shauri hili ni kuhoji uhalali wa Jeshi la Magereza kuzuia...
Ufuatiliaji wa JamiiCheck
JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa picha hii si halisi bali imehaririwa kwa Akili Unde.
Zaidi soma: POTOSHI Je, picha hii ya mfungwa aliyevaa hereni kutoka gereza la UKONGA ni halisi?
Sisi mawakili Maduhu William, Nashon Nkungu na Paul Kisabo tumefungua shauri la Kikatiba ambalo ni Shauri No. 7300dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza, Mkuu wa Gereza la Ukonga na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Shauri hili limefunguliwa katika mahakama kuu masijala kuu ya Dodoma. Tumefungua...
Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
Leo tarehe 30 Desemba 2025, Mimi, Wakili Mzee Mpale Mpoki, na Wakili Hekima Mwasipu tulikwenda kumuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, katika Gereza la Ukonga. Yu katika hali ya afya nzuri kiasi kwani kiwango chake cha sukari kwenye damu kimeongezeka kiasi ila Daktari...
https://youtu.be/r7Q3c52fIOw?si=vKArWlvV0I3OjLJa
Huyu mama na watu wake are so pathetic na wana mioyo migumu kama mawe....
Hawataki kuwajibika kwa makosa yao yaliyosababishwa na ujinga na upumbavu wao wenyewe na badala yake wanatafuta mahali na watu wa kuwatwisha gunia la hatia na uovu wao...
Watanzania, hamjambo mimi Tundu Lissu nawandikieni kuwapasha hizi habari za "Ban" toka Jumuiya za Kimataifa na mataifa rafiki kwa Tanzania
Ipo hivi katika nyanja za diplomasia neno "ban" inatokana na maana ya kawaida ya "kukataza rasmi" (to prohibit officially), na katika diplomasia hutumika...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Serikali kupitia Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa, Mhe. Tundu Antipas Lissu katika Gereza la Ukonga.
Katika siku za karibuni, viongozi wa Chama akiwemo...
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu ametuma ujumbe kutoka Gerezani ukonga, akibainisha kuwa hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji.
Aidha, amesema hakuna haki bila amani. Ujumbe huu ameuandika kwa mkono wake mwenyewe.
Kila nchi ina magereza yanayoitwa maximum security prisons. Magereza ya aina hiyo yanakuwa na ulinzi mkali na masharti tofauti kwa wanaoshikiliwa (inmates) humo ukilinganisha na kwenye magereza ya kawaida..
Hii ni kwa faida ya wanaoshikiliwa humo wasije wakadhuriwa na maadui wao wa nje...
TAARIFA KWA UMMA
MWENYEKITI WA CHAMA MHE. TUNDU LISSU YUPO GEREZA LA UKONGA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa mapema leo, tarehe 19 Aprili 2025, viongozi wakuu wa chama wamekutana na uongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mheshimiwa Tundu...
Waliokuwa Wagombea ubunge wa Chadema kwenye ule uchaguzi hewa wa 2020 , wamefunguka leo chanzo cha wao kuzuiwa kuingia ndani ya gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti wao Freeman Mbowe, katika siku halali na muda muafaka wa kuona Mahabusu.
Wamefunguka yote haya katika Mkutano wao na Waandishi wa...
Bwana Yesu apewe sifa!
Itakuwa ni safari ya kitume ambapo wagonjwa na wenye shida mbalimbali waliopo gerezani tutawaombea.
Kwa pamoja tutamwomba Mungu awape wepesi katika mitihani wanayoipitia kwa sasa.
Hili ni agizo la Yesu kwamba tukiyatenda haya kwa waliopo majaribuni basi twamtendea Yesu...
Nilipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM tuliwaambia watanzania wawe makini na CHADEMA, tuliwaambia wawe makini na chama kinachoendeshwa kisanii kwa hoja mpechempeche na propaganda nyepesi, muda ni mwalimu mzuri, leo ukweli unajianika na CHADEMA wanaumbuka. Chama kimepoteza mvuto, Press zisizo na tija...
Kiongozi wa Act -Wazalendo na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi ndugu Mbatia wamemtembelea Mbowe na kumtia moyo juu ya mapambano ya demokrasia. Walimtembelea katika Gereza la Ukonga na Mhe. Zitto akachukua nafasi hiyo kumpa zawadi ya chakula cha ubongo
Chanzo Act -Wazalendo