general tyre

Ghandhara Tyre & Rubber Company Limited (GTR), formerly known as The General Tyre and Rubber Company of Pakistan Limited is a Pakistani tyre manufacturing company based in Karachi, Sindh. It has a production capacity of two million tyres per annum with manufacturing plant located in Landhi.

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania General Tyre Arusha kugeuzwa mabanda ya biashara kama kwa Mromboo

    Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Balozi Waziri Salum amesema anakusudia kubadilisha matumizi ya eneo la kiwanda cha tairi cha General Tyre kilichopo Mkoani Arusha kutokana na kiwanda hicho kusimamishwa uzalishaji tangu mwaka 2007 na kutumia kiasi kikubwa cha Fedha kwa ajili ya huduma...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha General tyre kubadilishiwa matumizi, hatuwezi kushindana na Wachina wanaozalisha tairi moja kwa dakika kwa kutumia mashine za kizamani

    Kiwanda cha general tyre kubalishiwa matumizi, hatuwezi kushindana na wachina wanaozalisha tairi moja kwa dakika moja kwa kutumia mashine za kizamani, tutafungua mashine tutapeleka Kilimanjaro viongozi wakitupa kibali, tutapeleka vipuli kwenye kiwanda ambacho kina matumizi ya hizo mashine...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha matairi cha General Tyre, atakikodisha kwa miaka 33

    Serikali ya Tanzania inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha kutengeneza matairi kilichopo jijini Arusha cha General Tyre kuhudumia soko la ndani na kanda. Uhuishaji wa General Tyre East Afrika(GTEA) kilichoanzishwa miaka 55 iliyopita unalenga uzalishaji wa matairi milioni moja kwa mwaka...
Back
Top Bottom