gen z wa kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gen Z wa Nepal Vs Gen Z wa Kenya; ina maana majeshi ya kiafrika ni imara au katili?

    Habari za usiku huu Sote tulishuhudia vile Gen Z wa Kenya walivyotikisa uongozi wa Kenya. Maandamano yao yalichukua muda mrefu na yalitapakaa sehemu nyingi kwao. Pamoja na kwa namna tofauti kupata sapoti ya dola ya Kenya, bado waliuawa na hawakuweza kumn'goa Rais. Nepal hapo tumeambiwa ni...
  2. GE2025 Mada Maalum: Vurumai za kura za maoni CCM

    Leo nimeona Clip ya Cyprian Musiba akilalamika kuhusu kura za maoni ndani ya CCM. Kura hizo za maoni CCM zimefuta kabisa yale majigambo ya chama hicho kuwa kina uadilifu kwenye kusimamia changuzi ndani ya chama hicho. Angalau kwenye kila Jimbo kuna malalamiko dhidi uwepo wa rushwa udanganyifu...
  3. Gen Z wa Kenya hawana mbeba maono (kiongozi) hivyo wanakuwa kama kikundi cha wahuni

    Ni mda sasa kumekuwa na harakati za gen z kutoka kenya ila tokea wanaanza walijitanabaisha kama ni leaderless hili lilikuwa kosa la kimkakati Kwenye historia ya dunia kwenye movement yeyote ile lazima kuwe na mbeba maono au kìongozi Movement yeyote ikikosa kiongozi ambaye sio wa kuchaguliwa...
  4. T

    Kifi cha Ojwang: Gen Z wa Kenya waandamana

    Maandamano yamezidi kushika kasi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, siku ya Alhamisi, ambapo magari yalichomwa moto na polisi walifyatua mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji waliokuwa na hasira kufuatia kifo cha mwanablogu wa kisiasa aliyefariki akiwa mikononi mwa polisi wiki iliyopita...
  5. Usaidizi wa gen z wa Kenya waidhoofisha kampeni nonsense ya no reform no elections ya Chadema iliyopoteza uelekeo kisiasa nchini Tanazania

    Kampeni hiyo imezimika kama moto wa mabua mitandaoni, field na ground baada ya wanainchi kuipuuza kizalendo zaidi. Hali hiyo imekuja baada ya gen z wa Kenya kuacha tena kusambaza hiyo ujinga kutokana na m.sarungi kuacha kutoa pesa kwa gen z wa Kenya, na chadema Tanzania nao wakajikuta...
  6. Bunge la Tanzania kuondoa CV za wabunge kuogopa Gen Z wa Kenya ni utoto

    Bunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.
  7. Kama wabunge wangekuwa Elite wasingejibishana na Gen Z wa Kenya. Lakini wameonyesha ni daraja Moja. Mtu timamu hawezi kuwajibu na Gen Z wakenya

    Mpo salama! Mbunge mzima, yupo bungeni, anatumia muda wa bunge na watanzania kujibishana na Gen Z ya Kenya. Kweli! Ni ukosefu wa mambo ya kujadili au ni nini? Ni kuongozwa na mihemko au ni kitu gani? Yaani mtu mzima na akili zake asumbuliwe na Gen Z wa Kenya kweli? Nimesikitika Sana...
  8. Sishauri Dotto Magari kupewa jukumu la kuwajibu Gen Z Wakenya kwa niaba ya Tanzania

    Nimemsikia mbunge mmoja mwanamke wa vitu maalumu akiwaonya Wakenya dhidi ya kejeli na matusi yao kwa mamlaka za Tanzania akiwapa tahadhari kama wanajua matusi sana basi tutawapa Dotto Magari wapambane naye! Niwaambie tu wabunge wasithubutu kufanya hivyo, tutaaibikia zaidi. Mfumo tu wa maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…