Watumishi Walimu ajira mpya wananyanyaswa sana katika ngazi ya halmashauri, baadhi ya halmashauri hazilipi hela ya kujikimu kwao, fikiria kaajiriwa toka January ya 2025 hadi sasa hajapewa hela ya kujikimu 🙄.
Halmashauri ya Geita Vijijini ni mfano, hawalipi hela ya kujikimu, walimu ajira mpya...
Anonymous
Thread
ajira mpya
fedha za kujikimu
geitavijijini
halmashauri ya geita
walimu ajira mpya
KUHUSU KUKAMATWA NA KUTESWA KWA FAMILIA NA MAJIRANI WA MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA VIJIJINI, BI. NEEMA CHOZAILE
Sisi, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),tunalaani vikali kitendo cha kukamatwa kiholela, kuteswa na kushikiliwa kinyume cha sheria kwa watoto, wanafamilia na majirani wa Bi...
Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums.
Nyingine soma
~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha za kujikimu
geitageitavijijini
hela
kujikimu
march
mpaka
mpya
vijijini
walimu
watumishi wa umma
wilaya
wilaya ya geita
Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili kuboresha huduma za afya na usalama wa jamii.
Musukuma amesema magari hayo yatanufaisha wananchi wa...
Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameingia kwenye Jimbo la Geita Vijijini na kuwasha moto mkubwa wa Katiba Mpya, wananchi wamepata wasaa wa kupiga kura hadharani ya kuukataa Mkataba wa kitumwa wa Bandari na DP World.
Kabla ya kura hiyo, Wananchi wa Jimbo hilo walilalamika kwamba, ukiacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.