gavana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Noti yako ya kwanza kutumia ilikuwa na saini ya Gavana yupi?

    Wakati unaanza kupata ufahamu wa kujua noti za Tanzania na kuzitumia, zilikuwa na saini ya gavana yupi?
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana wa kaunti ya Mombasa atamba Magufuli amerudi, sasa ni kazi tu

    Gavana wa kaunti ya Mombasa nchni Kenya aliyeapishwa juzi amesema uchaguzi umekwisha na sasa ni kazi tu, huku akiwahakikishia Wakenya kuwa marehemu Magufuli amerudi nchini humo kwa hiyo watarajie kuona taifa lao likipaa kiuchumi kwa spidi kubwa. Sikiliza mwenyewe video hii.
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana wa zamani wa Kaunti ya Laikipia hatiani kwa kukiuka amri ya Mahakama

    Ndiritu Muriithi, Gavana wa zamani wa Kaunti ya Laikipia anaweza kupata adhabu ya kifungo cha hadi miezi 6 jela pamoja na wenzake 13 waliokuwa wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa kaunti hiyo kwa kukiuka amri ya mahakama iliyowataka kuwarejesha kazini madaktari 33 waliokuwa wameondolewa miezi 40...
  4. JamiiForums Tanzania TAA Gavana Edward Twining na Serikali ya Malkia Elizabeth, 1953

    TAA, GAVANA EDWARD TWINING NA SERIKALI YA MALKIA ELIZABETH 1953 Baada ya kupata taarifa ya kifo cha Malkia Elizabeth nimekifungua kitabu cha Abdul Sykes (1998) kumtafuta Malkia. Nimekuta nimemtaja Malkia Elizabeth sehemu kadhaa ndani ya kitabu kama mtawala wa Tanganyika. Tuanze na pale Julius...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana Mkenya alipa deni la Mtanzania Hospitali (Tsh. Mil 8.3)

    Mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la Maria Maria alikwama kulipa deni la matibabu aliyopata baada kugongwa na gari wakati akitembea Barabarani ambapo alilazimika kubakia Hospitali ya Nakuru Level Five tangu Agosti 2022. Gavana wa eneo hilo Susan Kihika amechukua dhamana ya deni lote baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…