g55 chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    PreGE2025 CHADEMA kamwe usiyumbishwe na hawa jamaa wanaojiita G.55

    Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, kamwe, kamwe usiyumbishwe na hawa jamaa wanaojiita G.55. Nikuombe usihangaike nao. Hapa ni kwamba, No reforms No election imeshaanza kubisha hodi kwa mahasimu wetu. Hapa pana kitu nyuma ya pazia. Hii ni mbinu ya kujaribu kukutoa kwenye reli...
  2. D

    Naamini mshauri na mdhamini wa G55 ni yule yule aliyeigharimu CHADEMA kwa kulamba asali kwenye kipindi cha Uchaguzi

    Ni yule yule aliyelamba asali ya lowassa 2015 na kumpitisha kuwa mgombea kwa kubadili gia angani. Ni yule yule aliyekuwa nyuma ya Covid19 akiwafundisha mbinu za kuwaingiza bungeni viti maalum kwa barua za siri huku akiwakana mbele za kamera 2020-21 Ni yule yule aliyesema hatogombea uenyekiti...
  3. Cute Wife

    PreGE2025 Nani anatoa pesa za kulipia ukumbi wa mkutano wa G55 na tukio kurushwa mubashara, CCM?

    Wakuu, CHADEMA kunafuka moshi, panatotoka, mvua inanyesha tunaona panapovuja. Lissu alipokuja waliona jamaa anatania na hoja zake, sasa wameona mwamba kashikilia msimamo wamekuwa kama wameamshwa kutoka usingizini, hawaelewi nini kinatokea, nyufa zinaanza kuonekana. Ukiangalia wote hao ni timu...
  4. DR Mambo Jambo

    G55 CHADEMA Ni Wazi kuwa ni Mizizi wa Historia Toka CCM..Je kwa CDM ni Mustakabali wa Demokrasia au Ni chanzo cha Mgawanyiko Ndani ya Chama Hicho?

    Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa mawasiliano ya kundi la WhatsApp linalojiita G55. Mawasiliano haya yalivuja wakati uongozi wa...
  5. Erythrocyte

    PreGE2025 Wanaojiita G55 wasiondolewe CHADEMA, bali waitwe waulizwe kwamba tunawezaje kushiriki Uchaguzi kwa Mfumo huu na Tukapata Haki

    Pamoja na kwamba bado sijaelewa hasa Malengo ya Watu hawa ambao wengi walikuwa viongozi wa Juu wa Chama, lakini sitaki kuwasingizia lolote, na ndio maana napendekeza Waitwe ili watupe siri ambayo kama tutaingia kwenye uchaguzi kwa hali hii tutatendewa haki. Wengi wa watu hawa kama siyo wote...
Back
Top Bottom