fursa za kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bongo Tech Giant

    JamiiForums Tanzania Fursa za Kazi za Remote (Mtandaoni) kwa Wataalamu wa IT, Biashara na Anga: Jiunge na Alignerr ($30 - $100+/hr)

    Habari wakuu, Kwa yeyote anayetafuta fursa ya kufanya kazi mtandaoni akiwa nyumbani (Fully Remote), kampuni ya teknolojia ya Alignerr kutoka Marekani (inayomilikiwa na Labelbox) imefungua milango ya ajira kwa wataalamu wa fani mbalimbali nchini Tanzania ili kusaidia kuifundisha na kuinoa mifumo...
  2. James 25th

    JamiiForums Tanzania Kwa waajiri na watu wenye fursa za kazi

    TANGAZO KWA WAAJIRI – FURSA ZA AJIRA ‎ ‎Unahitaji wafanyakazi wenye weledi, waaminifu na walio tayari kuanza kazi mara moja? ‎Joshua – Jobs Agent inakuletea suluhisho rahisi, la haraka na la uhakika kwa mahitaji yako ya wafanyakazi. ‎ ‎Tunawaunganisha waajiri na: ‎✅ Madereva ‎✅ Wahudumu wa...
  3. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada: Kuunganishwa na Fursa za Kazi za Kusafiri na Mabasi ya Mikoani

    .
  4. Double line

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana fursa za kazi na ajira

    WAKUU HUU UZI MAALUMU WA MAJOBLESS Wakutiana Moto na kufarijiana kwa yote tunayopitia vile vile kupeana fursa na taarifa kuhusu utafutaji kazi NIANZE NA MIMI Huu mwezi wa pili tangia nisimamishwe kazi nilipokuwa nafanya kazi NI mkoani geita geita gold kutokana na kashfa ya pombe nimerudi dar...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi?

    GPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi? As data analyst?
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Mechanical Draughtsman at Twiga Cement Limited August, 2024

    Position: MECHANICAL DRAUGHTSMAN Areas of Responsibility: As assigned by the supervisor. Reports To: MCC MANAGER Specific Knowledge Minimum of (5) five years of hands-on experience in the cement industry, particularly in developing and preparing comprehensive mechanical drawings...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Elimu yangu ni Bachelor Of Business AdminstrationNatafuta kazi

    Salama wana jukwaa, Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye mke na watoto wawili, nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kazi yoyote ile kujikimu mimi na familia yangu. Elimu yangu ni "Bachelor of Business Adminstration". Yoyote mwenye kazi au connection ya kazi yoyote halali na yenye kipato basi...
Back
Top Bottom