Kumeibuka chapisho la tangazo linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, likiwa na kipande cha video kinachomuonesha Abubakari Bakhresa akidai kuwa kampuni yake ya Azam inatoa fedha kwa Watanzania kuanzia TSh 4,000,000 hadi 6,500,000, huku usajili ukidaiwa kufanyika ndani ya...