Small pleasures - mambo gani yanatokea mara kwa mara na yanakufurahisha kwenye maisha ya kila siku?
Acha nianze :)
Kutoa bra na nguo za kubana bana baada ya kufika nyumbani .
Kuwa peke yangu (bila watoto, bila mwanaume) napika huku naangalia movie au nasikiliza mziki na hakuna mtu anayetokea...
Huyu ni tajiri mwenye nyumba nyingi za kupanga.
Siku moja nikiwa barabarani, niliona duka la matunda lenye mazingira safi likiwa na viti na meza kwa ajili ya wateja.
Nilipofika pale, nilimkuta tajiri huyu akiwa na mazungumzo yaliyoonekana kuwa yamenoga sana. Nilidhani ni mteja, nikaenda...
Kupitia andiko hili kwenye Biblia, mfano alioutoa Yesu dhidi ya tajiri mkulima aliye fikia kilele cha mafanikio ilimchukiza Mungu na kuamua kumuua.
Nimetafakari namna tunavyo ishi sisi wanadamu na utafutaji wetu usiofikia kikomo, leo mtu anaweza kuwa na hatua fulani kwenye maisha yake ambayo...
Usimfanye mtoto wako kuwa mtoto wa kambo, alelewe na baba au mama ambaye sio wake. atakosa amani, uhuru na furaha kwa miaka yake yote ya utoto mpaka atakapojitegemea.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya matatizo àmbayo hayazungumziwi ndàni ya jamii yetu ni pàmoja na changamoto ya Watoto...
Ndugu zangu Wana jukwaa hili. Nategemea kutoa andiko kwa vijana. Kutokana na uzoefu wako naomba unisaidie kujibu haya maswali yangu.
1. Ni jinsi gani kijana anatakiwa aishi ili kuwa na furaha bila uchumi/kipato?
2. Ni jinsi gani kijana anatakiwa kutafuta uchumi/kipato ili aishi kwa furaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.