Kwa mujibu wa World of Statistics, Tanzania ipo katika nchi 30 ambazo watu wake hawana furaha zaidi duniani. Tanzania ipo nafasi ya 12
30 Unhappiest countries in the world
1. Afghanistan 🇦🇫
2. Sierra Leone 🇸🇱
3. Lebanon 🇱🇧
4. Malawi 🇲🇼
5. Zimbabwe 🇿🇼
6. Botswana 🇧🇼
7. Democratic Republic of the...
Nimesoma Nyuzi, Hapa Jamaa anasema Ndoa imemshinda,
Katika ulimwengu huu, Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe usitegemee kupata Furaha Kutoka kwa watu pasipo wewe kujipa Furaha.
Tumia Fedha Mali ulizo nazo kujipa Furaha, ila zingatia kua mwanadamu asiwe Sehemu ya Furaha yako.
Chagua Vitu ndo vie...
"Money is numbers and numbers never end..."
– Pesa ni kama namba, na namba hazina mwisho.
– Ukiikimbiza pesa tu, kamwe hautaridhika — daima utataka zaidi.
"If it takes money to be happy, your search for happiness will never end."
– Kama furaha yako inategemea pesa, basi hutawahi kuwa na...
True happyness does not demand expensive stuff.
Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki.
Watu wafuatao hawana fursha hata kama wanajifaragua na makeke mengi.
1. Mtu anayehitaji kunywa pombe sana na vilevi vikali
2. Watu...
Safari ya kutafuta furaha ya Kweli.
RATANJI TATA: Bilionea wa India Ratanji Tata alipoulizwa na mtangazaji wa redio katika mahojiano ya simu:
Bwana, unakumbuka nini ulipopata furaha zaidi maishani? Ratanji Tata alisema:
Nimepitia hatua nne za furaha maishani, na hatimaye alielewa maana ya...
Kila hatua unayopiga kwenye maisha ipime kwa kuangalia ulikotoka. jiulize jana na juzi nilikuwa wapi leo niko wapi, majibu yake yatakupa taswira kama unapiga hatua au unarudi nyuma.
Wapo wengi ambao hupima mafanikio yao katika nyanja moja tu ya maisha "hali ya kiuchumi" pasipo kuangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.