fundi ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nje ya Sanaa ya muziki, Civilian-Coin pia ni fundi ujenzi.

    Msanii wa muziki kutoka Tanzania anaye ghani mashairi yake kwa lugha ya kiingereza pia ni fundi ujenzi wa majengo na mbunifu wa kutengeneza vifaa mbalimbali vya ujenzi, hujishughulisha na shughuli za ujenzi ambazo humusaidia kukamilisha mipango yake ya Sanaa ya muziki na maswala ya kiuandishi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Fundi Ujenzi, Plasta

    Habari wanna jukwaa. Asanteni kwa muda wenu. Nipo Goba, Dar es Salaam. Nahitaji fundi Ujenzi mwenye uzoefu mzuri wa kujenga fence ndefu katika ardhi ya Dar es Salaam. Pia nahitaji fundi mzuri wa plasta mwenye uzoefu wa kunyoosha kuta za majengo marefu kwenda juu. Unaweza kunicheki inbox...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi wakuu, anayeweza kazi vizuri

    Nina plot yangu nataka nitoe kitu kikali Sasa ninaomba humu kama Kuna fundi mzuri.
  4. JamiiForums Tanzania Fundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi anayefanya kazi ya kueleweka

    Wazee natafuta fundi ujenzi anayeweza kufanya kazi inayoeleweka sio kuja kuharibu kazi maana pesa inatumika nipo serious wazee anayeweza kazi aje pm kazi ipo dar
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi Fundi Ujenzi Anavyoweza Kujitangaza Kwenye Internet Bila Gharama Kubwa

    Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi ujenzi anaweza kuchukua ili kujitangaza kwa ufanisi na kupata kazi nyingi zaidi. 1. Tumia Mitandao...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Fundi Ujenzi afariki dunia kwa kukosa Huduma ya Kwanza ndani ya Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Biashara cha Afrika Mashariki – EACLC, Ubungo

    Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora. Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutafuta "Fundi Juma" mwenye uzoefu wa kujenga ghorofa ili kupunguza gharama

    Habari wakuu, Mungu akipenda, mwakani natamani kuanza ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja. Mpaka sasa, nimefanya michoro yote, architectural na structural designs. Naomba ushauri kwa watu wenye uzoefu, nataka kutafuta fundi Juma ambaye ana uzoefu kujenga ghorofa, anisaidie kujenga ili kupunguza...
  9. JamiiForums Tanzania Fundi Ujenzi Nnapatikana Moshi, Kilimanjaro

    Fundi Ujenzi (Mason Contractor), Naitwa Hussein Machui,Napatikana Moshi,Kilimanjaro najihusisha na maswala ya ujenzi kama Fundi. Nmekizi vigezo vyotee.. Naomba kazi 0673817130
  10. I

    JamiiForums Tanzania Fundi ujenzi natafuta kazi

    Hello Naitwa Nyesigamkama Ni fundi ujenzi wa nyumba Fani ya Bricklaying and Concrete practice. Najenga kuanzia nyumba ya kawaida mpaka Ghorofa. Niko Murongo Kyerwa Kagera nafanya kazi mikoa yote. Namba yangu Ni 0614899688
  11. JamiiForums Tanzania Gharama za vitu sasa ipo juu lakini Fundi ujenzi bei yake iko palepale

    Habarini waja JF, Wote tunajua vitu ni bei juu kwa sasa, mfano, mchele, ngano, mafuta, petrol, sabuni, gharama za usafiri, vifaa vya ujenzi, nk Lakini fundi bei yake palepale, tell me why. Kwa namna niliyowaza bado sipati jibu, japokuwa na kipato chao hawa watu ila hawaishiwi vibweka na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi mzuri mwaminifu

    Ndugu zangu wa Jamii, Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur. Asanteni sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…