freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Sina tabia ya kumshambulia kiongozi mwenzangu hata napokuwa siridhiki, Katiba kumbana Lissu

    Akijibu swali la Salim Kikeke Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe amekiri kuwa mara kadhaa amekuwa akikaa na Makamu wake, Tundu Lissu na kujadili mambo yanayohusu Chama na baadae anakuja kuzisikia taarifa hizo zimetoka nje. Soma, Pia: Freeman Mbowe: Shutma za Lissu...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    "Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Wakuu Kwenye mahojiano na Salim Kikeke kupitia, Crown FM, Mbowe amefunguka kuwa; "Mimi kama Mwenyekiti wa chama ni tabia yangu ni historia yangu, sijawahi kuingia kwenye siasa kwa ajili ya kutafuta sifa na mimi nilikuwa mtu wa kujenga na kulea vipaji vingi kwa miaka yote, Tundu Lissu mimi...
  4. JamiiForums Tanzania Mimi na Mbowe tutapishana January 21, 2025. Kwaheri CHADEMA ya Mbowe

    Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo. Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe ashauriwa akichaguliwa amteue Tundu Lissu kwenye uongozi

    Ni takriban wiki 3 zimesalia pekee kushuhudia mpambano wa kukata na shoka kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kukalia kiti cha Chama kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA. Kumekuwa na mpambano mkali kwenye mitandao ya kijamii hasa nani anafaa kuchaguliwa kuongoza chama hicho katika uchaguzi wa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Bob Chacha Wangwe: Mbowe anakuwaje rafiki wa adui zetu? Tumkatae wote

    Na; Bob Chacha Wangwe Mhe. Mbowe na Mhe. Lissu wote ni viongozi wetu. Mchango wao ni mkubwa sana na tunawapenda. Lakini tunaipenda zaidi CHADEMA. Katika kuchagua mmoja kwenye nafasi ya Uenyekiti, tukiamua kabisa kuweka upambe na uchawa pembeni na kuangalia maslahi na ustawi wa CHADEMA na...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi Freeman Mbowe anavyoenda kumfuta Lissu kwenye siasa za Tanzania

    Freeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga. Amewaacha mbali sana wanasiasa wote wa upinzani mtu pekee aliyekuwa anamkaribia Mbowe ni Maalim Seif. Ni mwanasiasa wa mfano na role model kwa kuwa anaweza kukusanya pesa na raslimali...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt Haule: Freeman Mbowe umetufedhehesha sana

    ==== CCM Wana haki ya kutuchamba. Mheshimiwa Freeman Mbowe ametufedhehesha sana. Unadhani CCM watakwenda kuruhusu katiba mpya na tume huru ikiwa kama kiongozi wetu mwenyekiti wa taifa anang'ang'ani madaraka bila ukomo? Tutatoa wapi ujasiri wa kuhutubia haki ya uhuru wa demokrasia iliyo na mipaka...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Freeman Mbowe kukacha mdahalo wa Januari 18, 2025

    Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo. Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya? Happy New Year 2025 in advance
  10. JamiiForums Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe anapata fursa ya kujua na kujifunza watu wema na wenye hila dhidi yake na uongozi wake

    Kuelekea uchaguzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, chadema ngazi ya taifa, Yapo mambo mengi sana yametokea na yanaendelea kutukokea kwa nyakati tofauti, na mengi yakihusiana na joto la uchaguzi wa chama hicho, January 22,2025. Kwa upande wa Freeman Aikaeli Mbowe, hali hii itamsaidia sana...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Madeleka: Wanasema ukitaka kugombana na Mbowe, gombea Uenyekiti wa CHADEMA

    Wakili msomi Peter Madeleka afunguka mambo mazito kuhusu uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA unatarajiwa kufanyika Januari 2025. "Wako watu ambao wanasema, na sidhani kama wako sahihi sana, lakini inawezekana ni nadharia tu ambazo zinapaswa kuthibitishwa vinginevyo na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mpambano wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu: Wajue wagombea hawa wawili

    Ilikuwa kama utani na ilianza tetesi kwamba Tundu Lissu ameamua kupambana na Mwenyekiti wake ili kumpata kiongozi mpya atakayekiongoza chama hicho kwa miaka mitano ijayo Sasa ni rasmi mafahali hawa wawili wameingia ulingoni ili kuamua ugomvi wao kupitia sanduku la kura. Freeman Mbowe...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Tishio ni Lissu, Mbowe angetafuta Mhusika mwingine agombee uenyekiti kisha amuunge Mkono, kwa usalama wa Chama

    Sabato Njema! Kambi ya Mbowe ingekaa ikatulia, ikatafakari, ikahesabu kila hesabu na chenchi zake. Hakika kama wangefanya hivi wasingemruhusu Mbowe Agombee tena. Ningekuwa kwenye hiyo Kambi, ningewashauri; "Tunahitaji Kambi yetu iendelee kuongoza. Sisi ni wamoja. Nasema uongo?" "Mbowe tayari...
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe ameongoza CHADEMA kwa muda mrefu sana kwa hiyo ampishe Lissu" Hoja ya kitoto kama nini

    Halafu unakuta mtu anae toa hoja hiyo anajiita msomi. Mnaendaga shule kukariri eti eeh? Mtu alie ongoza Chama kwa muda mrefu tena kwa mafanikio makubwa si ndio anatakiwa kuendelea kupewa nafasi ya kuongoza kwa sababu tayari ana experience? Na amesha prove kwamba anaweza. Mnataka learner wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe na viongozi wengine wa Chadema kuhudhuria Mkesha wa " Vuka na Chako" kwa Mtume Mwamposa, RC Chalamila atakuwepo pia!

    Ni mkesha kabambe wa mwaka Mpya ambapo viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Siasa watahudhuria Mkesha wa " Vuka na Chako" utafanyika tarehe 31/12/2024 RC Chalamila yeye ni kama mwenyeji kwani hata Mkesha uliovunja rekodi ya mahudhurio wa Chako Ni Chako juzikati alikuwepo Nadhani Mbowe...
  16. N

    JamiiForums Tanzania John Marwa: Dani wewe kampeni meneja wa Mbowe tuambie kwanini baada ya mauji ya Ali Kibao na kupotea kwa vijana wa CHADEMA haijachukua hatua yoyote?

    Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri, Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mratibu wa Kampeni za Mbowe: Kumtuhumu kushirikiana na CCM ni kumkosea heshima, Tunamhitaji Mbowe kuliko anavyojihitaji yeye mwenyewe

    Mratibu wa kampeni za Freeman Mbowe ametoa kauli kali akiwataka wale wanaomtuhumu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuacha mara moja, akisisitiza kuwa ni kumkosea heshima kiongozi huyo. Akizungumza na Jambo TV, mratibu huyo ameeleza kuwa Mbowe ameonyesha...
  18. JamiiForums Tanzania Olengurumwa atoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi

    Wakili maarufu na mwanaharakati wa haki za binadamu, Onesmo Olengurumwa, ameandika ujumbe wa kipekee katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, akitoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania Mbowe alifanya kosa dhidi ya Universe sasa analipia

    Moderator Naomba kichwa cha habari kisomeke hivi👇👇👇👇 TAREHE 17 SEPTEMBER 2017, MBOWE ALIFANYA KOSA KUBWA SANA DHIDI YA UNIVERSE. ............................................................ Niliwahi kuandika hapa Jf kwamba ndugu, jamaa au rafiki yako wa karibu akipatwa na jaribu/mtihani wa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe iokoe CHADEMA kwa kuchukua maamuzi mazito ya kumuunga mkono Lissu, usisubiri kesho!

    Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja. Utaijengea CHADEMA heshima Utajijengea heshima kubwa zaidi Kwa kuijengea CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…