Mnyama Leo atashuka dimbani kumenyana na fountain Gate.
Majira ya saa 16:15 jioni
Simba wazee wa kazi
Wazee wa vichapo
Wazee wa kutoa vipondo
Simba imebarikiwa kutandaza soka safi mithili ya Spain
Mtanange wa kukata na shoka
Kwa dunia ya sasa hivi wanakwambi ni heri ukose kufanya mapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.