kwa wale watumiaji wa computer ikitokea umefuta kitu kwa bahati mbaya iwe kwenye simu memory card au flash je kuna uwezekano wa kuviludisha vitu ulivyo vifuta.
jibu ni ndio inawezekana hapo unahitaji kua na proglamu moja inaitwa RECUVA kwa bahati mzuri hiyo prog ni bure kabisa kwa matumizi ya...