fichua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Wafanyakazi kwenye Kampuni Binafsi tunapata shida sana kulipwa stahiki zetu

    Habar wakuu, Sisi wafanyakazi tunaofanya kampuni binafsi hakika tunanyanyasika sana hasa linapofikia swala la kulipwa stahiki zetu na mishahara, kuna kuwa hakuna sababu ya mfanyakazi kulipwa mshahara kuanzia tarehe 5-8 mwa mwezi unaofuata. Mfano mshahara wa mwezi wa tatu unalipwa mwezi wa nne...
  2. A

    DOKEZO Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Mjini inanuka rushwa, ichunguzwe!

    Napoandika hii post leo, na siku za karibuni waziri mkuu amekuwa ziarani Mkoa wa Kilimanjaro, naomba na kumsihi Waziri Mkuu aifanyie uchunguzi ofisi ya Mkurugenzi wa manispaa ya Moshi mjini, mipango miji na TARURA kwa kula rushwa nakuuza maneno ya wazi au kuwezesha maneno ya wazi kuuzwa kwa watu...
Back
Top Bottom