Habari wana JF....
Naamini most of mliopo na wasiokuwepo hapa... your weekend ilikua ni nzuri na your Loved ones are well and good...
Katika mahusiano ya Mapenzi kila moja hu wish kua angeweza kuingia rohoni ama nafsi ya Mpenzi wake huyo ili kujua/kuona ni kiasi gani his/her whole being...