faru weupe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Jamii Ndogo Ya Faru Weupe Yatoweka

    Jamii ndogo ya faru mweupe wa kaskazini (Northern White Rhino) iko ukingoni mwa kutoweka kabisa duniani, huku ikiwa imesalia na faru wawili tu, ambao wote ni majike. Faru hao, Najin na Fatu, wanaishi katika hifadhi ya Ol Pejeta nchini Kenya. Faru dume wa mwisho, Sudan, alifariki mwaka 2018, na...
Back
Top Bottom