faris buruhani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Buruhani: Ushawishi wa CCM sasa ni mkubwa kuliko wakati wowote, Samia alishinda kwa 97%

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema hayo Februari 14, 2026, wakati akihojiwa na Chief Odemba kupitia kipindi cha Medani Kuu. "Ushawishi wa CCM kwasasa ni mkubwa kuliko wakati wowote, Samia alishinda kwa 97%, pia idadi ya watu waliotoka kwenda...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Faris Buruhani: CHADEMA haina ukubwa huo, sasa hivi ikitokea Msiba na kesi Mahakamani kwao wamepata mkutano

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema CHADEMA haina ukubwa huo, sasa hivi kimepata Platiform kinasemea Mahakamani na Misibani, ikitokea Msiba kwao wamepata Mkutano, wakiwa na Kesi Mahakamani, wamepata mkutano.
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Buruhani amjibu Nape: Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini Chama hakitaondoka madarakani hata baada ya Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amejibu kauli ya Nape Nnauye kuhusu chama hicho kuondoka madarakani akisema "Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini Chama hakitaondoka madarakani hata baada ya Samia" Soma > Nape: Vyombo vya Dola visipojali UTU...
  4. Waufukweni

    PostGE2025 Faris Buruhani: Hata iweje CCM haiwezi kutoka madarakani hadi mwisho wa dunia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema chama hicho kitaendelea kubaki madarakani na hakitotoka kamwe. Akizungumza Februari 14, 2026 wakati akihojiwa na Chief Odemba kupitia kipindi cha Medani Kuu, Buruhani amesema, “Hata iweje CCM haitatoka...
  5. Waufukweni

    PostGE2025 Faris Buruhani: Samia tayari ameifikisha Tanzania kwenye nchi ya asali na maziwa kama alivyotamani John Magufuli

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, Samia tayari ameifikisha Tanzania kwenye nchi ya asali na maziwa kama alivyotamani John Magufuli
  6. R

    Faris Buruhani: Bila amani na utulivu hakuna kuoa wala kuolewa

    Wakuu mpoooo!!!! Huyu inatakiwa VAR imulike bongo lake labda kuna chenga chenga 😂 😂 😂 Wanaovuruga amani ni hao wanaong'ang'ania madaraka kiuhalifu ------------- Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amewataka wananchi wa mkoa huo...
  7. R

    GE2025 Faris Buruhani: Haupewi uongozi CCM kama hujajaribiwa au kupimwa

    :Uongozi ndani ya CCM si cheo, bali ni dhamana inayopatikana kwa safari ya majaribio, maumivu, subira na kujitoa bila masharti. Wapo waliogombea na wakashindwa, lakini hawakurudi nyuma wala kuhama Chama. Walitumikia chama kwa nguvu zote, wakajenga imani, na leo wamepewa tena nafasi ya kugombea...
  8. Waufukweni

    GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

    Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29 = Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, amewasihi na kuendelea kuwaomba wananchi wa mkoa wa Kagera kujitokeza kwa wingi...
  9. DuaZaMama

    GE2025 Faris: Octoba 29 hakuna mende hata mmoja atabaki kabatini

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera, ndugu Faris Buruhani ameendelea kuwanadi wagombea wa udiwani na ubunge kwenye kata na majimbo mbalimbali ya mkoa wa Kagera, huku akiendelea kusisitiza na kuwaomba wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda kuwachagua wagombea wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi, ili...
  10. R

    GE2025 Mwenyekiti UVCCM Kagera: Maneno tumepita bila kupingwa yanaweza kuwa sumu kupunguza kura za Chama chetu

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani amezindua rasmi kampeni za Udiwani katika kata ya Kashasha, jimbo la Muleba kusini na kuzungumza na wananchi wa kata hiyo kupitia mkutano wa hadhara ‎Katika mkutano huo Faris alionyesha masikitiko yake kwa...
  11. B

    PreGE2025 UVCCM Faris Buruhani aliyesema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie kuwania ubunge Bukoba Vijijini

    Mwenyekiti wa UVCCM Faris Buruhani aliyesema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie kuwania ubunge Bukoba Vijijini. Kama ni 'mtu asiyejulikana' akiwa UVCCM unafikiri hali itakuwaje atakapokuwa mbunge? Si ndio atawapoteza wa kutosha aweke rekodi na viroba viokotwe vya kutosha huko kagera? Soma...
  12. W

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Kagera: Siasa siyo mchezo wa jando na unyago

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhani amewaasa Viongozi wa Jumuiya ya Vijana ngazi zote ndani ya mkoa wa Kagera kufanya kazi kwa bidii ili kuzitendea haki nafasi walizonazo kwenye maeneo yao, huku akisisitiza kwamba hiyo ndiyo njia pekee ya kulinda imani waliyopewa na vijana...
  13. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Faris Buruhani Aongoza Bonanza la Mtani wa Jadi, SIMBA vs YANGA Kata ya Nyakibimbili

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani, ameongoza BONANZA la mpira wa miguu kati ya timu za mashabiki wa Simba na mashabiki wa Yanga iliyochezwa katika uwanja wa shule ya Msingi Lyamahoro, katika kata ya Nyakibimbili. Ndugu Faris, amelitumia Bonanza hilo kuwashukuru wananchi...
  14. Cute Wife

    LGE2024 UVCCM Kagera Faris Buruhani: Viongozi wa dini wahimizeni waumini kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, ameungana na Waislamu wa wilaya ya Missenyi na Mkoa wa Kagera kwa ujumla katika Maulid ya Bwana Mtume Mohammad [s.a.w] iliyosomwa katika Kata ya Kyaka wilaya ya Missenyi mkoani Kagera. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa...
Back
Top Bottom