farao

Pharaoh (, US also ; Egyptian: pr ꜥꜣ; Coptic: ⲡⲣ̄ⲣⲟ, romanized: Pǝrro; Biblical Hebrew: פַּרְעֹה‎ Parʿō) was the title of the monarch of ancient Egypt from the First Dynasty (c. 3150 BCE) until the annexation of Egypt by the Roman Republic in 30 BCE. However, the equivalent Egyptian word for "king" was the term used most frequently by the ancient Egyptians for their monarchs, regardless of gender, through the middle of the Eighteenth Dynasty during the New Kingdom. The earliest confirmed instances of "pharaoh" used contemporaneously for a ruler were a letter to Akhenaten (reigned c. 1353–1336 BCE) or an inscription possibly referring to Thutmose III (c. 1479–1425 BCE).
In the early dynasties, ancient Egyptian kings had as many as three titles: the Horus, the Sedge and Bee (nswt-bjtj), and the Two Ladies or Nebty (nbtj) name. The Golden Horus and the nomen titles were added later.
In Egyptian society, religion was central to everyday life. One of the roles of the king was as an intermediary between the deities and the people. The king thus was deputised for the deities in a role that was both as civil and religious administrator. The king owned all of the land in Egypt, enacted laws, collected taxes, and served as commander-in-chief of the military. Religiously, the king officiated over religious ceremonies and chose the sites of new temples. The king was responsible for maintaining Maat (mꜣꜥt), or cosmic order, balance, and justice, and part of this included going to war when necessary to defend the country or attacking others when it was believed that this would contribute to Maat, such as to obtain resources.
During the early days prior to the unification of Upper and Lower Egypt, the Deshret or the "Red Crown", was a representation of the kingdom of Lower Egypt, while the Hedjet, the "White Crown", was worn by the kings of Upper Egypt. After the unification of both kingdoms, the Pschent, the combination of both the red and white crowns became the official crown of the pharaoh. With time new headdresses were introduced during different dynasties such as the Khat, Nemes, Atef, Hemhem crown, and Khepresh. At times, a combination of these headdresses or crowns worn together was depicted.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Mayahudi kuwauzia Farao gesi yenye thamani ya Trilioni 90

    Wakati propaganda za chuki dhidi ya Mayahudi zikizidi kuenezwa hasa katika nchi maskini kama zetu, kwa Mafarao wa Misri kwao Mayahudi ni fursa. Israel na Misri wamesaini kandarasi ya gesi asilia ambapo Yerusalem itaiuzia Kairo gesi yenye thamani ya dola za Marekani Bilioni 35. Kwa mkataba huu...
  2. Q

    Mungu akaufanya moyo wa 'Farao' kuwa mgumu ili wana wa Tanganyika wapate kupona

    BWANA akamwambia Musa, Ingia wewe kwa Farao; kwa kuwa mimi nimeufanya moyo wake mzito, nipate kuzionyesha ishara zangu hizi kati yao. Kashauriwa karibu na kila mtu, wape watu wako Haki wanayoomba, yeye akawajibu, Haki ipi wanayoomba. Viongozi wa Dini mbalimbali wamemwambia, wape wananchi wako...
  3. Killing machine

    Farao aliyepewa ufarao akiwa gerezani

    Na mwombea farao ang'amue ya kwamba kiburi,dharau,na upuuzi wake si bule Wala wa kujitakia Bali Kuna nguvu isiyo ya kawaida nguvu ipitayo nguvu zoote inayo msukuma farao kufanya hivyo kwa makusudi ili maandiko ya shekhe yahaya yatimie. Ingekuwa vema farao Ange kubaliana na matokeo kwamba...
  4. USSR

    Walisema Musa tuvushe walivyo fika jangwani wakasema tungebaki kwa farao , ni zamu ya Rais Samia

    Zamani za kale za Bibilia wana wa Israel walimwambia Musa awavushe bahari ya Shamu watokane na mateso ya farao walipovuka wakakutana na jangwa waka zingua wakisema bora wangekufa mikononi mwa Pharao wanadamu hawana jema . Lisu alikuwa ulaya kwenye kambi za wakimbizi baada ya kukoswa kifo na...
  5. D

    Wale viongozi uchwara wanijibu: Farao alivyokufa wale wana wa Israeli Je, Walisikitika au walishangilia?

    Nyie viongozi wakati mwingine muone haya kama asemavyo aliyekuwa mwenzenu Polepole! Ni kweli pengine polepole alikuwa kama nyinyi lakini Kaona haya moyoni mwake akaamua kutubu hadharani kwetu wanadam wenzake. Watu wengine HUJISEMEA Eti ukitubu kwa Mungu sirini inatosha, UKWELI ni kwamba...
  6. Lord Denning

    Ushauri wangu wa mwisho. Ukitaka kumaliza Wahuni fanya kama Mungu alivyofanya kwa Farao

    Hakuna jipya duniani. Bingwa wa kushughulika na Watu viburi duniani ni Mungu Baba wa Mbinguni. Mtu wa kwanza kabisa kuwa na kiburi hapa Duniani ni Farao. Aliyekuwa mfalme wa Misri. Ili kumkomesha kiburi chake Mungu alituma Malaika kudeal na Mzaliwa wake wa Kwanza. Wahuni wa Tanzania wana...
  7. Chakaza

    Haya yanayotokea sasa ni Marudio yalishatokea. "NITAUFANYA MGUMU MOYO WA FARAO ....."

    Hivi hawa Chadema kusema uchaguzi usifanyike hadi Reforms zifanyike ili uwe uchaguzi wa HAKI NA HURU ni kosa? Sasa ona masahibu wanayopitia. Viongozi wao wanatekwa,kuuawa, kushambuliwa, sasa hivi wanazuiwa kusafiri, chama kinyimwa ruzuku, chama kimewekewa zuio haramu kufanya kazi, na kubwa...
  8. hamis77

    Mwili wa Farao kutoharibika: Si muujiza wa Qur'an bali ni utamaduni wa kawaida wa waMisri wa kale

    UTANGULIZI Moja ya madai yanayotolewa na baadhi ya waumini wa Uislamu ni kuwa Qur’an ilitabiri kuhusu kutoharibika kwa mwili wa Farao aliyemkataa Musa, na kwamba mwili huo bado upo hadi leo kama “ishara kwa watu.” Hili linapatikana katika Qur’an Sura ya 10:92, ambayo inasema: Waislamu wengi...
Back
Top Bottom